Ankara za maji kuwa kubwa

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,757
Reaction score
31,120
Mnasamehe et faini za maji! Je,inakuwaje kuhusu Ankara zilizopanda na kuwa juu hasa Arusha na kuwaacha watu katika sintofahamu na maumivu ya madeni ya maji? Huku mamlaka zikiwanyanyasa kwa kuwakatia maji!?

Maji yamegeuka kuwa manyanyaso kwa Watanzania.

Wakati wa kampeni ulaghai wenu ni umeme,barabara, maji n.k.

Lakini imekuwa sio huduma tena bali unyanyasaji. Huko Usa river- Meru-Arusha watu wamekuwa wanakatiwa maji hovyo hovyo tu.
 
Kuna mada nilitoa humu huku Dodoma za bill kuwa kubwa,nilizodolewa balaa!
 
Haya hayapo huku mtaani. Sisi juzi tumekatiwa making nyumbani kwetu Ijumaa.
Tena hao watendaji wa mamlaka ya maji Usa river wamejaa kiburi, jeuri na ubabe.Nasikia wengi ni CCM na ndugu wa wana CCM ndo maana wana kiburi sana.
Ila sisi ndo Wameru siku yao inakuja.
 
👆🏻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…