Mimi huwa nafikiria kuwa kwa kuwa kazi kubwa mbinguni ni kuimba basi huenda Mungu alionelea aongeze vipuri vya waimbaji katika kundi la waimbaji wa mbinguni akaona Angela na Sedekia watamfaa zaidi.
Una fikra kama zangu sababu yule yupo njema,anapiga mpaka backup mwenyewe,walikua ni level nyingine.alafu kama Anjela alikua anaimba kwa hisia sana mpaka unaguswa.namsikilizaga cku nzima hata nikipita sehemu nikisikia nyimbo zao napunguza mwendo.ringtone kwenye cm ndo usiseme..Kusudi la Mungu ni kubwa.
Yaweee ee uhimidiwe, uwaminifu wako unajulikana ,kwa mataifa yote ya ulimwenguuuu yaweee., umeumbaaa lakini hauku umbwaaa... na mwingine Nataka nitoke chini,toka chini kwenda juuu, chini kunamagonjwa ........