Bobumikwara
Member
- Jul 17, 2014
- 43
- 14
Jubilee Jubileeee Ooooh! Jubile!!!!
Alikua anapiga zouk /rumba kali sana
Dah!! Sikujua kama kesha fariki!!!!!
pamoja na kutokuamini hayo majarida ya kimapokeo(Bible and Qur'an) wimbo wa EBENEZER wa huyo mama nausikilizaga Sana.R.I.P
Jesus Christ est la Chemin na Bokonzi nayo zinanibariki sana.