Aot,death note,monster /zipo nyingAnime gani unaikubali
haya w mtu mzima umefuata nnโ
unapiga za ukweli dogo rema ๐Shosti hii JF sio mali yako tunachangia popote pale na vyovyote tutakavyo
unapiga za ukweli dogo rema ๐
umepotea ๐บHee kumbe bwana ako huyo naona unamsifia sana kila kona
umepotea ๐บ
Utanipa link nishushe anime ikishakuwa na Rating ya 9.5 itafute ndo yale yale ya Attck on Titan unakesha week nzimaOne eye ghoul ina episode ngapi ili nione naanzaje kuiangalia.
Halafu angalia hii inaitwa Gachiakuta ni new hata IMDb ina rating ya 9.5
Hii ni kali kuanzia episode ya kwanza tu
Sijui kwann siimalizagi hii ngoja term hii nijikaze nimalize๐One Punch Man kwangu haina mpinzani.
saitama ๐ฅSijui kwann siimalizagi hii ngoja term hii nijikaze nimalize๐
Utanipa link nishushe anime ikishakuwa na Rating ya 9.5 itafute ndo yale yale ya Attck on Titan unakesha week nzima
Anilab wanaruhusu kudownload??Link hiyo
Hii wanaifanya kama Solo Leveling kila week episode moja. Sasahivi ina episode mbili tayari, kesho nahisi inatoka episode ya 3. Kali kinoma
Pia ukitumia app ya Anilab aliyoitaja Paz3i huko juu, unaikuta Gachiakuta sema tu Anilab nimeijaribu sahiz ina ads na yenyewe, ila anime nyingi zipo
Namuona mwamba Donquixote Doflamingo kwenye DP yako hapo.pakua anilab ufurahie mambo mazuri
Sema mimi Anime nyingi sijaangalia aisee. Ushanitamanisha kuangalia hiyo Attack on TitanBinafsi Anime yangu pendwa ni Ippo Hajime Makonouchi hii hata week iliyoosha nimetoka kuiludia ...
Japo sidhani kama watatoa mwendelezo wake nipo nasikiliza watoe manga ya mwezi huu hapa niliishia sehemu nzuri sana
Baada ya hapo Attack On Titan ipo kwenye ratiba zangu nikiboeka tuu naangalia namkubali sana mwamba wangu Levi Ackerman na kichaa wake HangeView attachment 3411213
Solo Leveling Mwaka huu walijua kutushika Season 2 imekuwa ya moto mno...
Nipo nangojea Kaiju No 8 niliambiwa mwezi huu wataachia
Shukran mkuu...Sidhani nahisi ni kuangalia tu
Kudownload tumia hii website
Attack on Titan ilinifanya nikeshe๐ile story walisuka bhana๐๐Sema mimi Anime nyingi sijaangalia aisee. Ushanitamanisha kuangalia hiyo Attack on Titan
Ila hii Kaiju No 8 nayo kali mno, ndio ilikuwa mara ya kwanza Anime kunisikitisha, pale ambapo Hibino Kafka amekamatwa kisa ni Kaiju kuna scene pale Kafka alilia, niliifeel moyoni kabisa๐ ๐
One peace kila nikiona episode ziko 1000 plus naghairi kuishusha๐๐Namuona mwamba Donquixote Doflamingo kwenye DP yako hapo.
Huyu mtaalam nampa respect sana kwenye One Piece.
One of the Strongest Pirates.
Japo yupo Kule gerezani Impel Down. Ila bado namuona ni bonge moja la Threat.