Yeah ni trash, niliacha kuifuatilia
Traxtion hizi zote ni 100/10 💥View attachment 3632279mkoko huu apa mkuu
Kaiju season two sijaangalia sina mzuka nayo sana au kwa vile nilisoma Manga yake....View attachment 3632279mkoko huu apa mkuu
Kaiju nimeona ni nzuri kuizidi solo leveling sijui kwaniniKaiju season two sijaangalia sina mzuka nayo sana au kwa vile nilisoma Manga yake....
Lakin hata Solo Leveling nilisoma pia ila ilivyoanza kutoka niliichek yote
Asta mwishoni ndo anatangazwa kama wizard King na yuno anabaki kuwa best worries kwa wapambanaji lakini hakuwa wizard King.Hii black clover inaishaje... Asta atakua wizard king au Yuno??
Kaiju ni funny story haipo serious sana 😃😃😃Kaiju nimeona ni nzuri kuizidi solo leveling sijui kwanini
Bora maana naona odds zinamfavour Yuno nikasema sisi team asta tutaweka wap sura zetu akiwa wizard king yuno😃😃Asta mwishoni ndo anatangazwa kama wizard King na yuno anabaki kuwa best worries kwa wapambanaji lakini hakuwa wizard King.
Asta na Yuno mwisho wanapambana.
Duh, nimekuwa busy sikuhizi kuangalia Anime. Next week nianze kuangalia moja baada ya nyingineView attachment 3632279mkoko huu apa mkuu
😃😃Tunaongalia pilau za anime tunawasalimu kwa jina jamuhuri 😄😄
Now dearth note ndo anime best kwangu naipin at the top 📌Duh, nimekuwa busy sikuhizi kuangalia Anime. Next week nianze kuangalia moja baada ya nyingine
Ngoja nimalizane na Black clover then nianze nayo...Now dearth note ndo anime best kwangu naipin at the top 📌
MtengweTunaongalia pilau za anime tunawasalimu kwa jina jamuhuri 😄😄
Nimesoma Solo leveling na Hajime no Ippo bas😃Nilikuwa napitia Upande wa Manga maana nilikuwa shamaliza Anime nyingi Sana.
Sasa narudi kwenye Anime maana najua zimeongezeka ongezeka angalau.
Ila Huku kwenye Manga napo sio pa kinyonge, hii chini ni Baadhi tu ya orodha ya Manga ambazo ni nzuri to the best nilizopitia.
Kwa walio interested Wanaweza kupitia hizi na nyingine ambazo hazipo hapa
1. Real Estate Developer
2. Legend of the Northern Blade - Recommended
3. Absolute Sword Sense
4. Murim Login - Recommended
5. The regressed Mercenary Mechanations - Recommended
6. Star Embracing Swordmaster
7. Myst, Might, Mayhem - Recommended
8. Teenage Mercenary enrollment
9. The God of Black field
10. Solo Leveling - Recommended
11. Zomgan
12. The return of Mount Hua Sect - Recommended
13. Chronicles of Lazy sovereign - Recommended
14. Eternally regressing knight
15. Absolute Regression
16. Trait Hoarder
17. The return of Crazy Demon
18. Paranoid Mage
19. Memoir of the King of War
20. Nano Machine
21. Eleceed
22. Lookism
23. Pick me up infinite Gacha
24. Academy undercover processor - Recommended
25. A regressors tale of cultivation
26. The Ultimate shut in
27. Crimson reset
28. Fog Land
29. Martial God regressed to Level 2
30. National tax Service thug
Kila la Kheri.
Ha ha ha Ile Solo Leveling kama unaangalia AnimeNimesoma Solo leveling na Hajime no Ippo bas😃
Solo leveling nilikesha kabisa kusoma😃🔥🙌
INATOSHA!!!!!!!!!!!!!!!!!!Fullmetal Alchemist
Fullmetal Alchemist Brotherhood
Demon Slayer
Goblin Slayer
Solo leveling
Naruto
Naruto Shippuden
Psycho Pass
Ghost in the Shell (Movies and Series)
Drifters
Another
Attack on Titan
Jujutsu Kaisen
Mob Psycho 100
One Punch Man
Arcane
Castlevania
Castlevania Nocturne
Bungo stray dogs
Classroom of the elite
Dead mount death play
Great Pretender
In spectre
My hero academia
Scavengers reign
The ancient magus bride
The lost village
When they cry
Resident evil
Your name
Weathering with you
A silent voice
Violeth evergarden
Hit monkey
Dragonnest
Star wars: the clone wars
Star wars: rebels
Star wars: visions
Star wars: bad batch
Terminator zero
Marverls What if
X-men 97
Jormugand
Kaiju No 8
Kengan Ashura
Seven deadly sins
Misfit of demon king academy
Assassination Classroom
Ajin
Death note
Erased
Gangsta
Guardian of the galaxy
Made in abyss
Night raider
Parasyte the maxim
Platinum end
Rick and Morty
Samurai chomploo
Samurai x Rurouno Kenshin
Terror in resonance
Hinter X Hunter
The Boondocks
The promised Neverland
The saga of Tanya the evil
Trese
Vinland saga
Yasuke
Fire force
Nezha
Avata the last airbender
Avatar the legend of Korra
DOTA dragon's blood
The legend of vox machina
Babylon
Black clover
Bleach
Blade runner
Blood blockade
Supernatural
Decil may cry
Chainsaw man
Desert punk
Dimension W
Elfen lied
Frieren
Fighting spirit
Fate strange...
Gnosia
Gantz 0
Gachiakuta
Hell's paradise
Junji Ito
Kemono Jihen
Tower of God
Dorohedero
Apothecary diaries
Mashle and magic
Monster
Jobless reincarnation
Re:zero
Pluto
Ragna crimson
Sakamoto days
The rising of shield hero
The eminence in shadow
The fable
The summer hikaru died
Sonny boy
To be hero x
Trigun
... To be continued