Umesema ukweli. Nilitaka niulize vipi mtanzania anakuja na mifano ya template za wazungu ? Tungependa kuona mambo yetu ya kiafrika kwa kweli.Rudi shule kijana.
Mimi ni mdau wa hiyo fani kwa muda mrefu. Naona Umejieleza vizuri sana lakini tatzo limekuja kwenye mifano uliyotoa.
Umecopy, "templates" za kizungu na kutuletea. Hebu rudi kaisome vzr Illustrator, Aftereffects na Cinema4D afu uje na mifano iliyo hai, tufanyie modelling ya Kibuyu, nyumba ya nyasi na animation watoto watoto wakiogelea mto wa mbu kusadifu ulichokiongea hapo juu.
Ukiniconvice tuje kufanya kazi za pesa siku moja..
There must be a hard work into it. Vijana hawa wakishajua kifungua visoftware basi wanahisi washaweza kila kitu. They must work in silence, success will make some noisyUmesema ukweli. Nilitaka niulize vipi mtanzania anakuja na mifano ya template za wazungu ? Tungependa kuona mambo yetu ya kiafrika kwa kweli.
Tuone vipilipili, barabara za vumbi, matumbili. . . anything signifying Africa
Hello, natumaini wazima, ngependa kuongelea kuhusu animations kidogo japo haijapewa kipaumbele sana japo ni muhimu sana hasa technology inavyozidi kukua tunahitajika kuboresha matangazo yetu, short films kama za ukimwi, unyanyasaji wa wanawake, watoto pia, games, movies na videos. Mimi nina ujuzi kuhusu animations hasa kwenye character modeling,designing,materials,textures,ringing, lighting pia game development , Ninapokea kazi/tenda, maoni pia ushauri (mawazo ya mtu hayapingwi) kwa mawasiliano zaidi.
Contact: 0744908147
Email: saishoo97@gmail.com
sawa mkuu nmekuelewaRudi shule kijana.
Mimi ni mdau wa hiyo fani kwa muda mrefu. Naona Umejieleza vizuri sana lakini tatzo limekuja kwenye mifano uliyotoa.
Umecopy, "templates" za kizungu na kutuletea. Hebu rudi kaisome vzr Illustrator, Aftereffects na Cinema4D afu uje na mifano iliyo hai, tufanyie modelling ya Kibuyu, nyumba ya nyasi na animation watoto watoto wakiogelea mto wa mbu kusadifu ulichokiongea hapo juu.
Ukiniconvice tuje kufanya kazi za pesa siku moja..
Kwa beginners Blender is a good starting point. Maya is basically for advanced animatorsUnatumia software gani mkuu.
Mimi nimeanza mdogo mdogo kujifunza kwa kutumia MAYA.
(Just personal interest si kwa biashara zaidi)
Sawa sawa mkuuKwa beginners Blender is a good starting point. Maya is basically for advanced animators
Karbu sanaSawa sawa mkuu