Animations

symone3

Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
5
Reaction score
2
Hello, natumaini wazima, ngependa kuongelea kuhusu animations kidogo japo haijapewa kipaumbele sana japo ni muhimu sana hasa technology inavyozidi kukua tunahitajika kuboresha matangazo yetu, short films kama za ukimwi, unyanyasaji wa wanawake, watoto pia, games, movies na videos. Mimi nina ujuzi kuhusu animations hasa kwenye character modeling,designing,materials,textures,ringing, lighting pia game development , Ninapokea kazi/tenda, maoni pia ushauri (mawazo ya mtu hayapingwi) kwa mawasiliano zaidi.
Contact: 0744908147
Email: saishoo97@gmail.com
Asante.
 
Attachments

  • home2.jpg
    44.6 KB · Views: 23
  • home2.jpg
    44.6 KB · Views: 21
  • sikila2.png
    31.9 KB · Views: 25
  • 20170927082622[1].jpg
    13.3 KB · Views: 19
  • 20170927082822[1].jpg
    21.2 KB · Views: 21
  • 20170927082934[1].jpg
    14.8 KB · Views: 20
  • 20170927082723[1].jpg
    16.5 KB · Views: 21
wateja wanakuja soon mkuu...
 
mkuu hebu weka kazi zko hizi naona umezidownload google...weka picha za animations au characters ulizozitengeneza ww,au za wanyama
 
mkuu hebu weka kazi zko hizi naona umezidownload google...weka picha za animations au characters ulizozitengeneza ww,au za wanyama
Mkuu hapo nimezichanganya nilizotengeneza na nyngne nlizitoa kwenye google pia ni kama advatizement mkuu, angalia vizuri. Asante
 
Mkuu hapo nimezichanganya nilizotengeneza na nyngne nlizitoa kwenye google pia ni kama advatizement mkuu, angalia vizuri. Asante
leta vitu vya maana tukutaffute in return
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…