Nataman kujifunza mambo ya animation.. Kma vile kutengeneza movie za kawaida za animation, au story-animation. Nmeinstall application ya Blender kwenye computer Naweza pata mtu wa kunishauri kuhusu mambo haya ?.. Kwasababu nmetokea kuyapenda sana..

hebu anzia youtube kuchukua tutoria ndogo ndogo jifunze pia kufanya mesh kufanya scketching pia mimi nilitumia blender 2018 ila niliacha kwa sababu mashine yangu ilianza kusumbua betrii maana iliua kabisa betrii