Unataka avatr ipi? Avatar zenye kucheza cheza kama yangu zinaitwa animated Gif. Mfano kama unatafuta ya mtoto anaedance just select pictures at google and then search for animated dancing baby, hapo utapata zaidi ya moja chagua unayoipenda,then iselect kama avatar yako