Anika pesa hivyo Kariakoo uone!!

Ukija kwetu border tunduma utakufa mapema saana,mtu anaeweka minoti nje nje anajiamini!shaurilo,utageuzwa msukule.
 
Ukija kwetu border tunduma utakufa mapema saana,mtu anaeweka minoti nje nje anajiamini!shaurilo,utageuzwa msukule.
  • Yap ni kweli kwa Tunduma "Build change" ni mkononi /mezani, huwezi amini ila ndio biashara yao. Jamaa wanakuuliza unataka DOLA au fedha ya nchi gani na kiasi kani - hapo hapo jamaa anakuhesabia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…