Yaan nimeshutuka sn.Nikafikiri kuna anguko la chama au anguko la kiongozi,kumbe ni fikira zako na ndoto ndo unaleta hapa.Pole sn ndoto si mahala pake hapa.
Kuna siku ntatoa agizo jua lisimame Mwaka mzima ili mfanye Kazi,naona watu mnapenda kulala sana na taarifa ninazotunaishi ilimladi kumekucha.
Tunatonesha vidonda kwa kuvitia chumvi na ndimu..tunahubiri chuki na visasiHata South Africa baada ya uhuru walitengeneza Tume ya usuluhishi na upatanishi lengo ikiwa ni kufuta uhasama na kuleta umoja……hapa kwetu baada ya uchaguzi……???
Leo Ni siku rasmi ya ibada, umekumbuka kumuombea Bob lakini!?.Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara
Tuwe na tuo tuwe na tafakuri kwenye maneno yetu...mtu anayejisifia rohombaya wazi wazi sio kwamba hana tu hekima lakini pia hana saburi na hatafakari matokeo ya kauli zake..huyu ni mwovu
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri, bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu, huchochea ghadhabu huchochea visasi chuki na ubabe....dhima ya kiongozi ni kuleta umoja na maridhiano sio kuchochea chuki na visasi [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kiongozi mwenye hekima kamwe hawezi kuongea karaha..karaha huleta simanzi na majonzi, mtu wa karaha hana ogofyo lolote, ni kiburi na kiburi chake ni anguko
Nuru ya mtu mbaya huzimika ghafla bila tahadhari bila taarifa...mtu wa hekima hutengeneza patano kwa njia ya mashauriano
Je tunatengeneza ama tunabomoa?
Je tunahubiri amani ama visasi?
Je tunaeneza ustawi au anguko?
Je Tunafundisha hekima au upuuzi?
-hakuna kitu kibaya kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi
Kiongozi kwani hujui huyo jamaa ana matatizo makubwa ya ufikiri ndivyo alivyo msamehe bure.
hapo utakuwa umepiliza.Kuna siku ntatoa agizo jua lisimame Mwaka mzima ili mfanye Kazi,naona watu mnapenda kulala sana na taarifa ninazo
Ngoma ikivuma sana hupasuka na mwenye kiburi akishupaza sana shingo huvunjika mara