Anguko la watetezi laja

Kuwabambikia kesi watu wenye mawazo mbadala,
 
Akina Barbarosa, Kipara Kipya, Cocochanel, Britanica,Lakisipesa na wenzao tayari wameshakiri kuchoka.

Bado kuna maroboti matatu dada ISIS, dada Dokta Love na Mgonjwa Mtambuka wao dawa ndio inaanza kupenya kwenye mfupa.
Huyu kipara kipya juzi kaanza kulia lia baada ya sheria ya mafao kupita.

Wataisha tu ni swala la muda
 
Akina Barbarosa, Kipara Kipya, Cocochanel, Britanica,Lakisipesa na wenzao tayari wameshakiri kuchoka.

Bado kuna maroboti matatu dada ISIS, dada Dokta Love na Mgonjwa Mtambuka wao dawa ndio inaanza kupenya kwenye mfupa.

😂😂😂😂rafiki mie nakufa huku..kumbe@dk love ni mdada?aisee
 
Ulipaswa uishi chini ya utawala wa Adolf Hitler,Iddi Amin,Mugabe,na wengine wa aina hii uone kama ungeleta haya maandiko.
 
Mtanyooka tu!
Utanyooka wewe unayewaquote warumi kwa walichoandikiwa wao ambapo mazingira ya wakati ule ni tofauti kabisa na ya sasa! Hao waroma wenyewe demokrasia iliwashinda na ndio maana kina musolin walitawala kwa mkono wa chuma na wakatwezwa vilevile! Na kwa andiko uliloweka hapa lilihamasisha udikteta kwa tawala za kidunia zilizozungumziwa mle hasa kwa wale madikteta ili kuwarubuni watawaliwa juu ya tawala za Mungu ambazo siyo za aina unayotaka kuwaaminisha watu. Soma, chambua na linganisha kabla ya kuapply mahali ulipo!
 
Kumbuka hii mistari ndo ilitumiwa na wakoloni kutawala Africa. Upo hapo
 
Irudi ikafanye nini,kwani walioianzisha hawakuwa na akili za kuweza kutafakari madhara ya hiyo Sheria kwa watanzania? Na mamlaka ya uteuzi imekwambia kuwa kuwateua wapinzani ni kupima Uwezo wao kiutendaji ndani ya serikali? Viongozi wa nchi hii wanatakiwa kufahamu kuwa,Rafiki mwema ni yule anayewakosoa na wanaosifia. Viongozi mmechangulia ili mtendee watanzania mema,hiyo hakuna haja ya kupenda sifa kwakuwa kabla ya kupewa uongozi nia zenu ni kutenda mema. Ifahamike kuwa kuwatendea mema watanzania siyo miujiza,kuwa hata fahamu zenu zijua kuwa mtaka uongozi ili mtende mema, hatuja haja ya kuwasifia kwa hayo. Mkifanya miujiza tutawasifu kwa kuwa miujiza huna pasipotemea. KUKOSOLEWA NI SEHEMU YA UTU
 
Lakini sio mamlaka isiyotaka tume huru,polisi,jeshi lao. Bibilia haisemi ivyo
 
Idd Ami na madikteta wengine walikuwa mamlaka kutoka juu? nadhani zamani viongozi wa dini ndo walikuwa viongozi wa watu. walikuwa na mamlaka na walitakiwa kutiiwa! leo dini na siasa ni kama moshi na pua
 
Sheria hii na zote kandamizi,mwisho ni awamu hii, sema tu atujui itaisha lini, ajae atafutilia mbali.
 
hitler, dadaa idi amin, bokasa, yahya jameh, jiwe, mobutu, nk.. kwa hyo hao ni watumishi??
 
Usikute I'd zote zinazomtetea ni yeye mwenyewe tu au za mtu mmoja tu.

Mbona huwa zinacomment kwa wakati mmoja zote hao watu kazi yao ni hiyo tu ?
 
Usikute I'd zote zinazomtetea ni yeye mwenyewe tu au za mtu mmoja tu.

Mbona huwa zinacomment kwa wakati mmoja zote hao watu kazi yao ni hiyo tu ?
[emoji23][emoji23] mkuu kwaiyo bwana yule huwa ana ID za kutosha?
 
Akina Barbarosa, Kipara Kipya, Cocochanel, Britanica,Lakisipesa na wenzao tayari wameshakiri kuchoka.

Bado kuna maroboti matatu dada ISIS, dada Dokta Love na Mgonjwa Mtambuka wao dawa ndio inaanza kupenya kwenye mfupa.
"Chadema watapinga"umemuachaje kiungo mchezeshaji elitwege kwenye list?
 
"Chadema watapinga"umemuachaje kiungo mchezeshaji elitwege kwenye list?
hapo nimesema "na wenzao" hayo majina yao yenyewe ya kichawi kuyakumbuka kwa haraka sio rahisi hao akina jingalao n.k
 
Reactions: etb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…