fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,841
- 2,962
It lacks quantitative analysis......Tumeshuhudia baadhi ya wadau kutoka mitandao ya kijamii mfano Jamii forums waliokuwa wakipigana kufa na kupona kuitetea serikali ya awamu ya tano wakianza kutundika daluga.
Watetezi hao waliojinasibu kuwa ni Kijani lialia huwaambii kitu kuhusu bwana yule na serikali yake sasa akili zimeanza kuwarudi huku tayari wakiwa hawawezi kumdhibiti tena bwana yule.
Sababu kubwa za hawa watetezi wa yule bwana kutundika daluga ni nyingi kutokana na trend ya hali halisi ya mambo mapya yanayolipuka kila siku ambayo mtanzania yeyote hawezi achwa kuguswa na jambo lolote.
Hizi ni sababu chache kwanini wengi watachomoka kwa kasi kulipisha kundi linalotumika kutetea ushindi kwa kutumia virungu na moshi wa kuwasha.
1. Sheria mpya ya mafao ya wastaafu
Hapa sio siri tutegemee watu wengi kama sio kujionyesha waziwazi basi watakaa kimya, hakuna ubishi kuwa chama cha bwana mkubwa kinapata sapoti kutoka kwa watu waliozaliwa muda mrefu yaani 1970 kurudi chini ambao wengi wao ndo wapo katika muda/ wanakaribia kustaafu sasa hapa wameguswa na kugundua kuwa walichokua wanakitetea kimewatia umaskini.
2. Wageni kupewa nguvu katika chama
Hakuna kitu kinauma kama kumtusi mtu mtandaoni baada ya muda mfupi anaapishwa na kuwa Naibu Waziri inatia hasira maana inakufanya uonekane kigeugeu maana kutoka kumuita mtu "anayetumika na mabeberu" hadi kumuita muheshimiwa.
Hii inawapa simanzi wadau wengi mtandaoni.
3. Songesha point nyingine hapo chini.........
.......
.......
WARUMI 13;Tumeshuhudia baadhi ya wadau kutoka mitandao ya kijamii mfano Jamii forums waliokuwa wakipigana kufa na kupona kuitetea serikali ya awamu ya tano wakianza kutundika daluga.
Watetezi hao waliojinasibu kuwa ni Kijani lialia huwaambii kitu kuhusu bwana yule na serikali yake sasa akili zimeanza kuwarudi huku tayari wakiwa hawawezi kumdhibiti tena bwana yule.
Sababu kubwa za hawa watetezi wa yule bwana kutundika daluga ni nyingi kutokana na trend ya hali halisi ya mambo mapya yanayolipuka kila siku ambayo mtanzania yeyote hawezi achwa kuguswa na jambo lolote.
Hizi ni sababu chache kwanini wengi watachomoka kwa kasi kulipisha kundi linalotumika kutetea ushindi kwa kutumia virungu na moshi wa kuwasha.
1. Sheria mpya ya mafao ya wastaafu
Hapa sio siri tutegemee watu wengi kama sio kujionyesha waziwazi basi watakaa kimya, hakuna ubishi kuwa chama cha bwana mkubwa kinapata sapoti kutoka kwa watu waliozaliwa muda mrefu yaani 1970 kurudi chini ambao wengi wao ndo wapo katika muda/ wanakaribia kustaafu sasa hapa wameguswa na kugundua kuwa walichokua wanakitetea kimewatia umaskini.
2. Wageni kupewa nguvu katika chama
Hakuna kitu kinauma kama kumtusi mtu mtandaoni baada ya muda mfupi anaapishwa na kuwa Naibu Waziri inatia hasira maana inakufanya uonekane kigeugeu maana kutoka kumuita mtu "anayetumika na mabeberu" hadi kumuita muheshimiwa.
Hii inawapa simanzi wadau wengi mtandaoni.
3. Songesha point nyingine hapo chini.........
.......
.......
Hayo uliyonukuu nilitunga mimi na kamati yangu miaka hiyo ili kuwafunga speed governor wananchi la si hivyo dunia ingekuwa uwanja wa mapambano na mateso zaidi ya jehanam. Tulifanya hivo ili kila mtu asitake kutawala ili dunia iwe sehemu salama kiasi ingawa watu wameanza kukengeuka basi na mimi nawaruhusu wakengeuke ili wapaleke ujumbe sehemu zote duniani kwamba watawala si kitu waki wafunga midomo watawaliwa.WARUMI 13;
1Kila mtu anapaswa kuwatii wenye mamlaka katika serikali; maana mamlaka yote hutoka kwa Mungu; nao wenye mamlaka wamewekwa na Mungu. 2Anayepinga mamlaka ya viongozi anapinga agizo la Mungu; nao wafanyao hivyo wanajiletea hukumu wenyewe, 3Maana, watawala hawasababishi hofu kwa watu wema, ila kwa watu wabaya. Basi, wataka usimwogope mtu mwenye mamlaka? Fanya mema naye atakusifu; 4maana yeye ni mtumishi wa Mungu anayefanya kazi kwa faida yako. Lakini ukifanya mabaya, basi, huna budi kumwogopa, maana anao kweli uwezo wa kutoa adhabu. Yeye ni mtumishi wa Mungu na huitekeleza ghadhabu ya Mungu kwao watendao maovu. 5Kwa hiyo ni lazima kuwatii wenye mamlaka, si tu kwa sababu ya kuogopa ghadhabu ya Mungu, bali pia kwa sababu dhamiri inadai hivyo. 6Kwa sababu hiyohiyo ninyi hulipa kodi; maana viongozi hao humtumikia Mungu ikiwa wanatimiza wajibu wao. 7Mpeni kila mtu haki yake; mtu wa ushuru, ushuru; wa kodi, kodi; na astahiliye heshima, heshima.
8Msiwe na deni kwa mtu yeyote, isipokuwa tu deni la kupendana. Ampendaye jirani yake ameitekeleza Sheria. 9Maana, amri hizi: "Usizini; Usiue; Usitamani;" na nyingine zote, zimo katika amri hii moja: "Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe." 10Ampendaye jirani yake hamtendei vibaya. Basi, kwa mapendo Sheria yote hutimizwa.
11Zaidi ya hayo, ninyi mnajua tumo katika wakati gani: sasa ndio wakati wa kuamka usingizini; naam, wokovu wetu u karibu zaidi sasa kuliko wakati ule tulipoanza kuamini. 12Usiku unakwisha na mchana unakaribia. Basi, tutupilie mbali mambo yote ya giza, tukajitwalie silaha za mwanga. 13Mwenendo wetu uwe wa adabu kama inavyostahili wakati wa mchana; tusiwe na ulafi na ulevi, uchafu na uasherati, ugomvi na wivu. 14Bwana Yesu Kristo awe vazi lenu; msishughulikie tena tamaa zenu za maumbile na kuziridhisha.
Mtanyooka tu!Hayo uliyonukuu nilitunga mimi na kamati yangu miaka hiyo ili kuwafunga speed governor wananchi la si hivyo dunia ingekuwa uwanja wa mapambano na mateso zaidi ya jehanam. Tulifanya hivo ili kila mtu asitake kutawala ili dunia iwe sehemu salama kiasi ingawa watu wameanza kukengeuka basi na mimi nawaruhusu wakengeuke ili wapaleke ujumbe sehemu zote duniani kwamba watawala si kitu waki wafunga midomo watawaliwa.
Mimi na warumi wenzangu tunakitakia safari njema ya kutundika daluga. Ukweli ni kwamba tuliwacheat tu hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbona wote majina fake?Akina Barbarosa, Kipara Kipya, Cocochanel, Britanica,Lakisipesa na wenzao tayari wameshakiri kuchoka.
Bado kuna maroboti matatu dada ISIS, dada Dokta Love na Mgonjwa Mtambuka wao dawa ndio inaanza kupenya kwenye mfupa.
Usisahau na ya kaisali apewe kasali na ya Mungu apewe Mungu.WARUMI 13;
1Kila mtu anapaswa kuwatii wenye mamlaka katika serikali; maana mamlaka yote hutoka kwa Mungu; nao wenye mamlaka wamewekwa na Mungu. 2Anayepinga mamlaka ya viongozi anapinga agizo la Mungu; nao wafanyao hivyo wanajiletea hukumu wenyewe, 3Maana, watawala hawasababishi hofu kwa watu wema, ila kwa watu wabaya. Basi, wataka usimwogope mtu mwenye mamlaka? Fanya mema naye atakusifu; 4maana yeye ni mtumishi wa Mungu anayefanya kazi kwa faida yako. Lakini ukifanya mabaya, basi, huna budi kumwogopa, maana anao kweli uwezo wa kutoa adhabu. Yeye ni mtumishi wa Mungu na huitekeleza ghadhabu ya Mungu kwao watendao maovu. 5Kwa hiyo ni lazima kuwatii wenye mamlaka, si tu kwa sababu ya kuogopa ghadhabu ya Mungu, bali pia kwa sababu dhamiri inadai hivyo. 6Kwa sababu hiyohiyo ninyi hulipa kodi; maana viongozi hao humtumikia Mungu ikiwa wanatimiza wajibu wao. 7Mpeni kila mtu haki yake; mtu wa ushuru, ushuru; wa kodi, kodi; na astahiliye heshima, heshima.
8Msiwe na deni kwa mtu yeyote, isipokuwa tu deni la kupendana. Ampendaye jirani yake ameitekeleza Sheria. 9Maana, amri hizi: "Usizini; Usiue; Usitamani;" na nyingine zote, zimo katika amri hii moja: "Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe." 10Ampendaye jirani yake hamtendei vibaya. Basi, kwa mapendo Sheria yote hutimizwa.
11Zaidi ya hayo, ninyi mnajua tumo katika wakati gani: sasa ndio wakati wa kuamka usingizini; naam, wokovu wetu u karibu zaidi sasa kuliko wakati ule tulipoanza kuamini. 12Usiku unakwisha na mchana unakaribia. Basi, tutupilie mbali mambo yote ya giza, tukajitwalie silaha za mwanga. 13Mwenendo wetu uwe wa adabu kama inavyostahili wakati wa mchana; tusiwe na ulafi na ulevi, uchafu na uasherati, ugomvi na wivu. 14Bwana Yesu Kristo awe vazi lenu; msishughulikie tena tamaa zenu za maumbile na kuziridhisha.
Ili uwe kiongozi lazima upate changamoto sio kufunga watu midomo.Mtanyooka tu!
hao ni baadhi ya member wa Lumumba maarufu hapa jukwaani.. Wazee wa "chibuku saba"mbona wote majina fake?
Midomo haifanyi kazi na hii ni awamu ya Hapa kazi tu.Ili uwe kiongozi lazima upate changamoto sio kufunga watu midomo.
Utapimwaje kuwa kiongozi bora sasa
Changamoto za kumtukana Rais wa Nchi ndio kipimo cha Uongozi bora!? Be serious even for a second!Ili uwe kiongozi lazima upate changamoto sio kufunga watu midomo.
Utapimwaje kuwa kiongozi bora sasa
Hahahaha afadhali umekuja na kukubali sana tu, tupige kazi kwa kweli.Midomo haifanyi kazi na hii ni awamu ya Hapa kazi tu.
Kwa akili ipi uliyonayo ya kubadilika? Tcha.Ufipa walibadilisha timu toka enzi za kina tuntemeke sanga hadi leo Jingalao yupo na hatobadili msimamo.