Anguko la Simba lipo jirani

Kila msimu na staili yake .Umuhimu wa Manara kwa Simba umeshapita,wakati hauruhusu.Ila Simba itaendelea kuwepo na kuchukua makombe.
Mpaka sasa imechukua makombe mangapi?
 
Mpaka sasa imechukua makombe mangapi?
Kukosa makombe msimu huu imechangiwa na baadhi ya sababu ulizotaja hapo juu ila sababu ya manara sikubaliani nayo. Kuchanganya mpira na siasa ndio imenishusha morali ya kuipenda timu yangu ya Simba ila sio kutokuwepo kwa manara.

Mimi sikotayari kupigania timu ya Simba kwa ajili ya kutimiza malengo ya watu kisiasa.

Pamoja na hayo Simba haiko kwenye hatua mbaya ila viongozi wa Simba wanatakiwa kubadilika. Isingekuwa makosa waliyoyafanya msimu huu katika nyakati muhimu,Simba alikuwa na nafasi ya kuchukua kombe la shirikisho Afrika.Lakini uchawa na tabia ya wanasiasa kujipendekeza kutaka sifa ambazo sio zao viliingilia kati wakati Simba inakaribia kwenye kilele cha mafanikio.
 
Utopolo mnahangaika sana, uwekezaji wa Mo Simba umekuwa mwiba mchungu kwenu,naona leo mumemuandalia yule domokaya press na kumpa mabodigadi wanne wamlinde. Mnafeli wapi Utopolo? Mtasubiri sana
Sawa
 
Hata msimu ujao Simba haitapata kombe lolote in fact msimu ujao kwa Simba utakuwa mbaya zaidi
Simba ikivuka robo kwenda nusu club bingwa kwangu binafsi itakuwa imenipa furaha.
 
Bado mambo ni yale Yale kwa msimu ujao
 
Utopolo mnahangaika sana, uwekezaji wa Mo Simba umekuwa mwiba mchungu kwenu,naona leo mumemuandalia yule domokaya press na kumpa mabodigadi wanne wamlinde. Mnafeli wapi Utopolo? Mtasubiri sana
Sahihi kabisa.
 
Mkuu bado unalisubiria anguko la Simba au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…