Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Viongozi najua yapo Mambo mengi na mda ni mchache but mungu anajua chadema sio majengo bali ipo moyoni mwa watuHakuna siri tena lile anguko la CHADEMA ambalo lilitabiriwa tangu Dkt. Slaa afanyiwe figisu na kuhama CHADEMA sasa limetimia.
Kiuhalisia lazima aliyesababisha anguko hili Watanzania wanatakiwa kumfahamu maana kuna watu walijitolea mali,muda na uhai wao sababu ya hiki chama...
Amen!Lawama zote ziende kwa Meko kutaka kila kitu azibiti yeye! Mungu atalipa yote ya liyotendeka tuombe uzima tu.
Vipi mgombea wenu alifikisha kura milioni mbili?Jiwe
Huko ni kujipa moyo au?Viongozi najua yapo Mambo mengi na mda ni mchache but mungu anajua chadema sio majengo bali ipo moyoni mwa watu
So tafadhali Sasa njoo na mpango chadema familia nchi nzima lengo kufanya wanachadema kuwa na umoja na mshikamano katika shida na raha wakati Mambo mengine inaendelea najua Kuna kipindi mlikua MNAFANYA hivi Sasa uimarisheni zaidi na uanze utekelezaji Mara moja mpaka kwenye vijiji ,chadema haiwezi kufa leo au kesho
Kwa hiyo hata kutafuna ruzuku na kuacha kujenga chama napo mnaingiliwa? Mmezoea kutoa saabu za uongo kila mnaposhindwa.Vilaumiwe vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo vinaingilia na kuvuruga utendaji wa vyama vya siasa.
Lini aliingilia mambo ya ndani ya CHADEMA? Mnaacha mtu anatafuna michango na ruzuku alafu mnasingizia watu wengine!Lawama zote ziende kwa Meko kutaka kila kitu azibiti yeye! Mungu atalipa yote ya liyotendeka tuombe uzima tu.
Shetani hawezi kumshinda Mungu.Lawama zote ziende kwa Meko kutaka kila kitu azibiti yeye! Mungu atalipa yote ya liyotendeka tuombe uzima tu.