Anguko la Bongo movie

Anguko la Bongo movie

manock

Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
97
Reaction score
37
Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii?
 
Ck hz ukienda kuban cd za bongo movie unaambiwa hamna lkn hakna djay maphia znapatkana cjui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii.
kwa uandishi huu... Taifa lina mjaza choo tu
 
Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii?
Kwa uandishi huu kufikia taifa la viwanda ni ndoto.
 
Kwa uandhishi huu... Tutabaki kuwa taifa masikini tu
 
Hahahaah Mtani uandishi wa hawa vijana siku hizi ni taabu tupu. Hadi ujue ujumbe ulioandikwa hadi uumize kichwa kama unafanya mtihani wa hisabati.
Na hapo hawajandika zile alphabet pendwa zile x jasho lazima likutoke
 
Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii?
Sikushangai ni kawaida yako huwa hueleweki.
Kula ushibe kwanza
 
Kama hujui kusoma bora uendelee kuumia tu maana nyiny ndo mnalalamka kila kukicha
 
Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii?
ni wakati tu,kanumba mwenyewe alikua anavuruga tu,angekwepo yangekua yaleyale
 
Back
Top Bottom