Anguko la Bernard Kamillius Membe kisiasa limekaribia

Halafu mbona mh.membe ni mwanadiplomasia mbobezi,hivi kweli anashindwaje kumwelewa Kanali Ngemera Lubinga pale alipomwambia AKITAKA TENA KUWA MWANACHAMA WA CCM AOMBE UPYA UANACHAMA!!

CCM ya zamani imeshakufa...

Inampa shida sana kuona muda wa kuchukua na kurejesha fomu ndani ya CCM ukiyoyoma, wakati hakuna hata dalili za kuombwa radhi kama alivyoweka masharti yake.
 
Inampa shida sana kuona muda wa kuchukua na kurejesha fomu ndani ya CCM ukiyoyoma, wakati hakuna hata dalili za kuombwa radhi kama alivyoweka masharti yake.
Nani amuombe radhi?!!!
Nini "MZUNGU" huyo...alikuwa mwamba wa kaskazini mh.Lowassa na miguvu yake yote ile ya robo tatu ya waNEC na bado karejea nyumbani KICHWA CHINI na maneno machache;
1.Assalaam aleikum
2.Tumsifu Yesu Kristo
3.Nimerejea nyumbani
4.Msiniulize kwa nini.
 
MWANA WA PEKEE nakusalimu, natumaini unaendelea vema na familia yako ipo salama.

Aksante kwa bandiko/post yako, nimeisoma vizuri.

Nilichokiona kwenye post yako ni "WOGA" "FEA" fea of unknown.

Hamna kitu vibaya kama hofu, na hili hata katika CORONA limeonekana vema wengi waliopaswa kuishi na CORONA huku wakitibiwa WALIKUFA kwa hofu.

Hofu hiyo hiyo yako wewe ya kumuogopa Membe.

Kama Membe atahama au la lisikutishe Mwachie. Kupitia post yako ,UMEWAAMBIA WATU JAMBO AMBALO USINGETAKA WATU WALIJUE BILA WEWE MWENYEWE KUJUA.

Jambo hilo ni woga,hofu ya Benard Membe kugombea urais wa Tz regardless political party in which will use.
Wewe

Wewe ni kiwakilishi cha kundi kubwa lenye hofu ya kumuogopa membe, ndo maana umekuja na bandiko la kumpondea na ili sijui avunjike moyo??

Hakika Membe angalikuwa Mtu wa kawaida USINHECHUKUA TIME KUANDIKA ungempuuza tu kama ambavyo huna time kumjadili LIPIMBA wa CUF ilojifia ,huna Muda na MREMA wa TLP! Kwanini? JIBU NI KWAMBA WAO WAO SIO HABARI TENA.

Habari ni BENARD MEMBE. "Ssisi tunayo haki ya kugombea, sisi sio wahalifu,sisi hatujamkosea Mtu, sisi sio waoha...."

👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊
 
Aksante sana missile of the Nation.

Hiyo ni kweli kweli tupu
 

Ndo tatizo la watoto wasiojua nchi imetoka wapi, iko wapi, na wapi inakwenda.
 
HALI IKOJE LEO

Baada ya kupuuza maonyo yote ya kumtaka kubadilika na aache utovu wa NIDHAMU dhidi ya chama toka mwaka ule wa 2014......

Ninachojiuliza cha msingi na ni nyepesi tu, vitu vipi alichokitenda kuanzia mwaka ule wa 2014 ambacho kilimkosesha nidhamu kiasi hicho na lisichukuliwe hatua ya uzito uliochukuliwa kwa sasa baada ya karibia miaka sita??

Cheza na siasa wewe...

Hakuna msafi mia kwa mia duniani, and we are all waiting in our different religions for our saviours... !!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachojiuliza cha msingi na ni nyepesi tu, vitu vipi alichokitenda kuanzia mwaka ule wa 2014 ambacho kilimkosesha nidhamu kiasi hicho na lisichukuliwe hatua ya uzito uliochukuliwa kwa sasa baada ya karibia miaka sita?...
Sawa kabisa,
Tatizo ameonekana SUGU....yaani hataki kubadilika. 2014 mh. Membe,Lowassa na Ngeleja walionywa WAACHE KAMPENI MAPEMA,hawakusikia.....

Mwaka huohuo wakaitwa na kamati ya maadili. Walipojieleza WAKAONYWA tena.

Miongoni mwa Mambo waliyokuwa wanayafanya ni pamoja na KUSIMIKA makundi HASIMU km Yale aliyojitapa mh.Membe na WATU WAKE SITA

MIAKA SITA BAADAE ANAYARUDIA YALEYALE.

Chama ni IMANI
Chama ni KUHESHIMU TARATIBU SHERIA na hata "Mila zetu"

Tafakari kitunduizi
 
Sawa kabisa,
Tatizo ameonekana SUGU....yaani hataki kubadilika....
2014 mh.Membe,Lowassa na Ngeleja walionywa WAACHE KAMPENI MAPEMA,hawakusikia...
Asante sana.. angalau nimepata ufafanuzi kidogo... sikuwa nafuatilia mambo ya siasa sana, ila ninahaki ya kuchelewa pia.

Kwa kweli, Raisi wetu amenifanya nianze kufuatilia siasa kwa karibu kuliko wakati wowote ile kwa sababu maendeleo yoyote unaoonekana na macho lazima yavutie...

Hata kama baadhi yake yawe mawazo ya wengine (inavyosadikika kwamba Chadema walikuwa wameyaongelea mengi bungeni, au Marais waliyotangulia walisharatibu miradi na mapendekezo mengine lakini hayakutekelzwa, kama kuhamia Dodoma ambaye tunamongelea Raisi wa kwanza kabisa na muasisi wa Taifa letu, na mengine mengi) na pia miradi mengi ambayo ni mapya kabisa (kama vile elimu bure).... au zitakuwa mapya kabisa yatakayokuja miaka mitano zinazofuata (kwa sababu kuna kila dalili za Raisi wetu kupita bila shida)... inanibidi nipate shauku kufuatilia siasa kwa karibu na kujihakikishia ninaelewa kwa nini nampenda mwanasiasa fulani, na kwa kiasi gani... au la..

Thank you...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ndio inaafika mwisho, Membe ataendelea kuwepo na ana nafasi kubwa zaidi pindi udikteta ndani ya chama utakapoondolewa.
 
You made my AFTERNOON....Karibu Sana komredi,kikubwa ni mtu kujua TUMETOKA WAPI,TUKO WAPI NA IPI DIRA YETU....ukiyajua vyema hayo basi inakuwa ni rahisi kujibu hoja ya mwenye fikra yeyote,iwe Lissu Mbowe ama John Mrema.
Karibu Sana upenuni mwetu,VIJANA wa CCM hatuongei kibubusa Wala hatushikiwi bongo.
Bravoo hureeee
 
Lumumba mnamuogopa Membe zaidi ya Trump. Hivi Membe kaifanyia nini CCM?

Nyie ndio mnaompa umaarufu Membe kwani kila mwana CCM si tu anamfahamu Membe bali hamkosi kumtaja na kumuota usiku takriban mara mbili kwa wiki. Nanyi ndio wanapenzi wake kiukweli. Najua mtaenda aendako hili halina ubishi. By the way walima korosho wote wapo naye.

Mwisho: Ukishangaa ya Maalim Seif/Lipumba-CUF utastaajabu ya Membe na CCM. Si ajabu yaklatokea hayo, leo Lipumba haamini, alijaribu kwenda Pembe kwa msaada wa mkuu wa Wilaya akapata wanachama wa CCM waliovalia sare za CUF.
 
CCM ndio inaafika mwisho, Membe ataendelea kuwepo na ana nafasi kubwa zaidi pindi udikteta ndani ya chama utakapoondolewa.
fazili buanaaa ndo Mana Yule mwanajf MWENZETU akasema huna fadhili....
Bado TU unaambaa na mh.Membe
HABAI JA LELOOOOO?

Membe kwisha kabisa...zile Tambo zake mfu za kuwa ANA WENZAKE SITA...Wala hazitofufuka.

Ushauri wa BURE kwake....
AOMBE msamaha,AOMBE kurudi CHAMANI,tutembee nae kwenye kampeni 2020 inshallah.

LOWASSA kajitambua
SUMAYE kajitambua
LIJUALIKALI kajitambua.

Mh.Membe wewe NI msomi na mwenye kaliba kubwa kidiplomasia ACHANA ACHANA ACHANA na kina Lazaro Nyalandu.....

RUDI NYUMBANI CAMILLIUS,MBONA LOWASSA NA MAKANDOKANDO YAKE YOTEEEEE tupo naye?!!!!

Think thrice
 

Kwa kweli
 
Hivi Leo 28/07/2020 ameshiriki kutoa Heshima kwa Uncle Ben Mkapa au amewakwepa na atatokea Lupaso
 


Tayariiiiiiii😇😇😇😇😇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…