Angola warusha Satellite ya kwanza

Hicho ni kipaumbele chao
 
Nikajua imeundwa Angola bwana....apo ni sawa Urusi imerusha na hongera kupewa cheo tuu....kujikubali kwenye hakunaaa....technology ni ya Urusi na kila kitu ni Urusi tuuu
 
kama tu hapo mbeya kuna kipindi kunakuwa na barafu itakuwa angola muhimu kuuliza kwanza unaona na yenyewe imeandikwa anglosat
hivi mbeya kuna Barafu siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…