Mind you...Angola was having a civil war for over 30 years. And we Tanzanian had have peace for over 56 years yet we have nothing to show except poverty and miseryHongera zao hata sie kuna siku tutarusha yetu ya Mungu mengi
angola wana mafuta wameanza kuuza kitambo,...ninyi mna mafuta?Mind you Angola was having a civil war for over 30 years. And we Tanzanian had have peace for over 56 years yet we have nothing to show except poverty and misery
Tuna almasi ambayo tunachimba na kuuza kwa miaka zaidi ya 80 non stop bila interaption kubwa kama wafanyavyo Botswana. Tuna dhahabu na gas piaangola wana mafuta wameanza kuuza kitambo,...ninyi mna mafuta?
tuna gesi na dhahabuangola wana mafuta wameanza kuuza kitambo,...ninyi mna mafuta?
ndio hiyo mnayojengea airport chatto au?Tuna almasi ambayo tunachimba na kuuza kwa miaka zaidi ya 80 non stop bila interaption kubwa kama wafanyavyo Botswana. Tuna dhahabu na gas pia
Mi sijui nasikia ile walipiga faida ya BOTndio hiyo mnayojengea airport chatto au?
Hoja ya msingi hapa hicho chombo ni Chao hata kama kimerushwa kupitia ardhi ya urusi. Hata hizo bombardier ziliruka kwa mara ya kwanza bongo. ?mbona naona barafu, angola kuna barafu? acheni ushamba.
kingelikuwa chao si wangetengenezea luanda, na wasingehitaji msaada wa warusi. hapo waliotengeneza ni warusi na sio waangola. tuache kufarijiana.Hoja ya msingi hapa hicho chombo ni Chao hata kama kimerushwa kupitia ardhi ya urusi. Hata hizo bombardier ziliruka kwa mara ya kwanza bongo. ?
mbona naona barafu, angola kuna barafu? acheni ushamba.
Mkuu una kichwa kizito sana.. Kwani ndege za air Tanzania ni Mali ya Tanzania au Canada?! Ma-landcruiser ya wizara ni Mali yaserikali au ya Toyota Japan? Simu yako ni Mali yako au ya mtengenezaji?!kingelikuwa chao si wangetengenezea luanda, na wasingehitaji msaada wa warusi. hapo waliotengeneza ni warusi na sio waangola. tuache kufarijiana.
Hizo bombardier zilitengenezwa Bongo. ?kingelikuwa chao si wangetengenezea luanda, na wasingehitaji msaada wa warusi. hapo waliotengeneza ni warusi na sio waangola. tuache kufarijiana.
Poor my country 🙄Sisi huku tunanunua kwanza wapinzani tukimaliza tutafikiria mengine