Angetile osia anafaa kuendelea ng'we nyingine tff

Angetile osia anafaa kuendelea ng'we nyingine tff

kazikubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
597
Reaction score
151
Huyu ni kiongozi makini na anayejua kukumbuka asili yake ya upenzi wa soka. Hajali lawama za watu hasa pale alifanyalo linamfurahisha mwenyewe na wananchi aliokuwa anawaongoza kabla ya kumuiga Amos Makala alipojiuzuru unazi ili kutenda haki kwa Watanzania.

Baba tunakukubali, maamuzi ya busara ya kuongeza muda wa usajili ni wa hekima hata kama maadui wanauchukia. Tuwekee waamuzi wa michezo yetu wale wenye mapenzi nasi si unajua tena kwa uzofu wako wengine wana kadi.

Mzee udumu tunakuunga mkono mzee.
 
Kwani imekuwaje? Umesikia kuna mtu hamtaki pale? Funguka mkuu.
 
Huyu ni kiongozi makini na anayejua kukumbuka asili yake ya upenzi wa soka. Hajali lawama za watu hasa pale alifanyalo linamfurahisha mwenyewe na wananchi aliokuwa anawaongoza kabla ya kumuiga Amos Makala alipojiuzuru unazi ili kutenda haki kwa Watanzania.

Baba tunakukubali, maamuzi ya busara ya kuongeza muda wa usajili ni wa hekima hata kama maadui wanauchukia. Tuwekee waamuzi wa michezo yetu wale wenye mapenzi nasi si unajua tena kwa uzofu wako wengine wana kadi.

Mzee udumu tunakuunga mkono mzee.
Umetumia Lugha ya Ki-fasihi lakini umeeleweka ni nini unamaanisha, hao ndiyo viongozi tulionao bwana, utendaji kazi ni sufuri wakati maslahi binafsi mbele.
 
hujaeleweka but anafaa sana ukiacha kufikiria usimba na yanga
 
  • :eek2:
Huyu jamaa binafsi sielewe alipataje nafasi hii nyeti katika soka la TZ kwa kweli amepwaya saaaaaaaaaaaaaaana kama anajipenda asithubutu kuomba au kukubali kuongeza mkataba baada ya muhula wake kwisha, hafai hafai hafai:A S cry:sipendi na sitaki hata kumuona
 
Back
Top Bottom