Mzee mmoja na jirani yake walimpeleka mjukuu wake mzee hospitali baada ya kumeza sarafu ya sh. 200 kwa jirani. Madaktari walimchunguza na kuona hakuna namna zaidi ya operesheni ndogo, kwa hiyo jirani na dokta mmoja wakatoka nje hadi alipobaki babu ili kutaka ridhaa yake.
Dokta: Mzee tumemchunguza mtoto vizuri; ila inahitajika tumfanyie operesheni ili kuweza kuitoa ile hela
Mzee (Kwa simanzi kubwa): Jamani, hivyo tu mjukuu wangu kameza shillingi mia mbili. Angemeza shillingi elfu moja si ndo mungemuua kabisa?