Ni watu ambao wanakupa pesa ili uinvest, na wao wanakuwa kama share holders lakini hawahusiki kwenye day to day activities za biashara na hawafuatilii uendeshaji. Faida ikipatikana mgao unafanyika according to makubaliano.
Tanzania wapo wengi, mimi ni mmoja wao.