Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Eeeh haya endelea kunishushia verse (nNi rahisi kinywa kujawa na lawama teleee
Pale mambo yanapoonekana hayaendiii
Ni ajabu sana naona moyo unahangaika.....kutafuta majiiiiibu
Ni ajabu moyo unavyoonyesha mashaka.....
Yaani acha kabisa, ndio nausikiliza hapa, kwakweli unanibariki huu wimbo.Eeeh haya endelea kunishushia verse (n
N:B Si unajua venye nina mapenzi ya dhati na mabinti Natural + black??.
Me nasikiliza need you to reignYaani acha kabisa, ndio nausikiliza hapa, kwakweli unanibariki huu wimbo.
Si ndio maana ukawa my one and only dota, blaaaaaaaack is beautifull[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Na hivyo nimenyoa ndio utalifaidi vizuri, tege utalisikia tu ni mwendo wa charanga tu inaburuza hukooo.Me nasikiliza need you to reign
Yani nimemiss chogo na matege yako black beautiful wewe teh
Ntakufunua tu miguu kwani sh ngapi? Teh. Kama nakuona vileNa hivyo nimenyoa ndio utalifaidi vizuri, tege utalisikia tu ni mwendo wa charanga tu inaburuza hukooo.
Hahahaaaa!!! Na haushindwi chizi wewe!Ntakufunua tu miguu kwani sh ngapi? Teh. Kama nakuona vile
[emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaaaa!!! Na haushindwi chizi wewe!
Kapitia maisha magumu ila ndio mabinti wenye bahati...Naskia amepitia mapito magumu sana mkuu ni kweli?