donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Naskia amepitia mapito magumu sana mkuu ni kweli?Napenda sana nyimbo zake
Need you to reign
Salama Rohoni
New day na Mighty to save
Hizo 3 za mwanzo zipo kwenye album yake ya sasa, huo Mwingine huwa nauona akiuimba kwenye matukio mbalimbali
Kwa uchache wa vile navyomfaham
Alikuwa mmoja wa kundi moja lililofanya vizuri sana kati ya 2010 had 2013 pamoja na akina Jessica honore,Paul clement na Wengine
Kuna baadhi ya matangazo ya commercial huwa nasikia sauti yake
Na ameolewa na anaishi na familia yake Arusha
Mapito yapo, na kila MTU nadhan anayo yake anayopitia au aliyopitiaNaskia amepitia mapito magumu sana mkuu ni kweli?
Mimi ninaupenda ule wa nikumbushe wema wakoNapenda sana nyimbo zake
Need you to reign
Salama Rohoni
New day na Mighty to save
Hizo 3 za mwanzo zipo kwenye album yake ya sasa, huo Mwingine huwa nauona akiuimba kwenye matukio mbalimbali
Kwa uchache wa vile navyomfaham
Alikuwa mmoja wa kundi moja lililofanya vizuri sana kati ya 2010 had 2013 pamoja na akina Jessica honore,Paul clement na Wengine
Kuna baadhi ya matangazo ya commercial huwa nasikia sauti yake
Na ameolewa na anaishi na familia yake Arusha
Yes mkuu, majaribu hayanabudi kujaMapito yapo, na kila MTU nadhan anayo yake anayopitia au aliyopitia
Rome wasn't build on a single day
Sifaham kwa undani sana Juu ya mapito yake ,ila najua kama atakuwa kayashinda sababu yupo vyema sana
Glorious celebration? Mbona my sister alikua anaimbia hilo kundi? Hebu ngojaMimi ninaupenda ule wa nikumbushe wema wako
Alikuwa katika group la grolious celebrations kabla ya kuwa solo artist
Ni msomi aliyemaliza chuo kikuu cha mzumbe....
Sijui kama ana familia yake lakini mara ya mwisho kumsikia alikuwa ni mjamzito
Kuna wimbo wao unaitwa roho na mwingineo niguseGlorious celebration? Mbona my sister alikua anaimbia hilo kundi? Hebu ngoja
Kwel kabisa mkuuKuna wimbo wao unaitwa roho na mwingineo niguse
Nadhani hizi ndo zilizokuwa hit songs zao..
MhNavyo fahamu alisoma udsm na siku ya kwanza kufika chuoni alkua na buku tano tuu ila Kwa uweza wa MUNGU aliweza ata kujisomesha akawa degree holder
Unata audio au video mkuu?Jamani wenye nyimbo zake wekeni to daunlodhasa hiyo need you to reign
MmmhNavyo fahamu alisoma udsm na siku ya kwanza kufika chuoni alkua na buku tano tuu ila Kwa uweza wa MUNGU aliweza ata kujisomesha akawa degree holder
Kitakachofika ntashukuru hata vyote sawaUnata audio au video mkuu?
Mkuu ni rahisi kudownload ukiwa na tubemate utachagua mwenyewe kama ni audio au videoKitakachofika ntashukuru hata vyote sawa
MaweeeGoes to one n' only
Little Sprinkles
Heaven Sent
Habari?Maweee