Angekuwa wewe ungefanyaje?

Angekuwa wewe ungefanyaje?

Kuna msela fulani ambaye tumekutana naye kesho jioni sasa huyo jamaa mama yake ni mimi tulikuwa tunaenda wote kwenye ile kanisa
Nilivyo kutana naye akaniomba tukae chini tuyamalize yale ya leo
Nilicheka saana maana niliona ni swala ambalo ni vigumu kumaliza
Mtu mwenye akili timamu anaweza kwenda na mkono wake pale na kuweka
Mke wake na mimi ndo tulimsaidia pale chini kwake lakini kulikuwa hakuna maana yeyote maana mtu mwenyewe alikuwa ameshafariki juu chini
Ndivyo yalivyo kuwa ivo sasa hivi tuko barabarani hapa tunakula wote
aisee nimeogopa sana i hope wapeshakupa vidonge vya usingizi
 
Kuna msela fulani ambaye tumekutana naye kesho jioni sasa huyo jamaa mama yake ni mimi tulikuwa tunaenda wote kwenye ile kanisa
Nilivyo kutana naye akaniomba tukae chini tuyamalize yale ya leo
Nilicheka saana maana niliona ni swala ambalo ni vigumu kumaliza
Mtu mwenye akili timamu anaweza kwenda na mkono wake pale na kuweka
Mke wake na mimi ndo tulimsaidia pale chini kwake lakini kulikuwa hakuna maana yeyote maana mtu mwenyewe alikuwa ameshafariki juu chini
Ndivyo yalivyo kuwa ivo sasa hivi tuko barabarani hapa tunakula wote
😳😳😳 kumbe kiswahili ndo kigumu hivi?
 
hizi stories za haya maboya ya jamii forums zimeanza kuchukua kasi...kwanini haya ma post ya kipuuzi yasifutwe. JF inataka kua kijiwe cha maboya ya facebook sasa. shame on you kutupia upuuzi huu kwa great thinkers.
 
Back
Top Bottom