Boss uko vizuri, mpaka unakunywa chai usiku🖐️🖐️Mpaka nimepaliwa ma chai 😂😂😂
Ww lalaBoss uko vizuri, mpaka unakunywa chai usiku🖐️🖐️
Aisee mimi jobless wa kimataifa, huo usingizi nautoa wapi??, Sina godoro Wala shuka mkuuWw lala
Aisee mimi jobless wa kimataifa, huo usingizi nautoa wapi??, Sina godoro Wala shuka mkuu


hamia jela


sijaelew chochote duuuhAisee boss, nipe hata udeki vyoohamia jela
Ukuje home jana nimekuchinjia kuku hukutokea ukanitia hasaraAisee boss, nipe hata udeki vyoo
Mambo ni mengi na muda ni mchacheAlie elewa anisaidie
kuna jamaa alikuwa naye kwenye mahusiano anataka wakutane kesho jioni ili wayamalize ila ni ngumu na alishagazwa sana maana huyo jamaa keshaoa mke lakini bado anampenda na huyo mke wa jamaa anamjua na wanasali kanisa moja kibaya zaidi huyo jamaa hana aibu anaweza kumdhalilishaKuna msela fulani ambaye tumekutana naye kesho jioni sasa huyo jamaa mama yake ni mimi tulikuwa tunaenda wote kwenye ile kanisa
Nilivyo kutana naye akaniomba tukae chini tuyamalize yale ya leo
Nilicheka saana maana niliona ni swala ambalo ni vigumu kumaliza
Mtu mwenye akili timamu anaweza kwenda na mkono wake pale na kuweka
Mke wake na mimi ndo tulimsaidia pale chini kwake lakini kulikuwa hakuna maana yeyote maana mtu mwenyewe alikuwa ameshafariki juu chini
Ndivyo yalivyo kuwa ivo sasa hivi tuko barabarani hapa tunakula wote
Mkuu hali ni tete, yaani mia 400 ya nauli, naiona Kama bilioni4Ukuje home jana nimekuchinjia kuku hukutokea ukanitia hasara
Duh ungesema nikakutumiaMkuu hali ni tete, yaani mia 400 ya nauli, naiona Kama bilioni4
Umeniweza aseMambo ni mengi na muda ni mchacheView attachment 2500016
Unajua boss, sinaga mpesa au Airtel money. Sijawahi fungua kabisaDuh ungesema nikakutumia
Nenda kaishi kule kwa waanzabe mzee kunaa kufaaUnajua boss, sinaga mpesa au Airtel money. Sijawahi fungua kabisa
Kule wataniua, maana wanawake hawavai nguo kabisa.Nenda kaishi kule kwa waanzabe mzee kunaa kufaa
Kule wataniua, maana wanawake hawavai nguo kabisa.
Ntauza wale ng'ombe wote nikimbieeeKwa wamasai vip panakufaa
Ntauza wale ng'ombe wote nikimbieee