Mpaka huyu Rais amalize muda wake. Idadi ya wehu itakuwa kubwa Sana. Cheki na watu wa Milembe sister. Wanaweza kukusaidiaKuna msela fulani ambaye tumekutana naye kesho jioni sasa huyo jamaa mama yake ni mimi tulikuwa tunaenda wote kwenye ile kanisa
Nilivyo kutana naye akaniomba tukae chini tuyamalize yale ya leo
Nilicheka saana maana niliona ni swala ambalo ni vigumu kumaliza
Mtu mwenye akili timamu anaweza kwenda na mkono wake pale na kuweka
Mke wake na mimi ndo tulimsaidia pale chini kwake lakini kulikuwa hakuna maana yeyote maana mtu mwenyewe alikuwa ameshafariki juu chini
Ndivyo yalivyo kuwa ivo sasa hivi tuko barabarani hapa tunakula wote
Wewe si unasema ni Mzaire! UmeathirikaKuna msela fulani ambaye tumekutana naye kesho jioni sasa huyo jamaa mama yake ni mimi tulikuwa tunaenda wote kwenye ile kanisa
Nilivyo kutana naye akaniomba tukae chini tuyamalize yale ya leo
Nilicheka saana maana niliona ni swala ambalo ni vigumu kumaliza
Mtu mwenye akili timamu anaweza kwenda na mkono wake pale na kuweka
Mke wake na mimi ndo tulimsaidia pale chini kwake lakini kulikuwa hakuna maana yeyote maana mtu mwenyewe alikuwa ameshafariki juu chini
Ndivyo yalivyo kuwa ivo sasa hivi tuko barabarani hapa tunakula wote
Anamaanisha maboss Kama wewe Mwachiluwi, mheshimiwe.Alie elewa anisaidie
Mpaka nimepaliwa ma chai πππAnamaanisha maboss Kama wewe Mwachiluwi, mheshimiwe.
Pure Savage ππππ