Kwa bahati nzuri na mbaya ukapata kazi nje ya nchi au ukaenda kufanya kazi hiyo. Na kumuacha mke wako na watoto wako nyumbani kwako. Kule unaenda kufanya sijui miezi tano au sita au mwaka na kurudi nyumbani kwako una mkuta mke wako yupo tu nyumbani
Baada ya kurudi nyumbani unasikia habari kwa watu kuwa kipindi upo safarini mke wako alikuwa anaingiza mwanaume fulani ndani ya nyumba yako.
Wewe kwa akili yako una chunguza habari hiyo unakuta ni kweli mke wako alikuwa anafanya hivo. Una mpa mke wako taarifa hizo na kweli na yeye anakwambia ukweli alafu anakujibu kuwa alikuwa anafanya hivo kwasababu alishindwa kuvumilia tamaa za mwili ndiyo maana alifanya vitu kama hivo.
Wewe kama wewe unaweza kumuacha huyo mwanamke na kuoa mwingine. Au utakubali tu matokeo?
Kwani inasoma kilomita mkuu?
Sema kuchapiwa na enyewe inauma..
Hasa kale ka msemo kua kuna wakati ilichomoka akaishika mwenyewe kuorudisha tunduni...🤣🤣🤣
Kuna mdau humu alitoa kisa kwamba, Kuna jamaa alimfumani mkewe alimsamehe lakini Kila akikumbuka kule kuchapiwa jamaa anatembeza mboko[emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo msamehe ila akikisha ukikumbuka kuchapiwa vuta ndani chapaaa sanaa[emoji1787]