Angekuwa wewe ungefanyaje?

Angekuwa wewe ungefanyaje?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Nina rafiki yangu ambaye tumeshibana saana kwa kauli nyingine sio rafiki tena ni ndugu kabisa.

Huyo rafiki yangu baba yake ni mgonjwa saana anaumwa sana. Tulikwenda naye hospitali wakasema anahitaji kufanyiwa upasuaji tumboni mwake na hili afanyewe hivo kuna pesa fulani ambazo wanaomba hili apate kutibiwa.

Sasa kuna pesa ambazo nilipewa na familia yangu baada ya dada zangu kuolewa wazazi wakaona zile pesa tufanye nazo biashara wakanipa mimi kama mtoto wao wa kiume. Na kwenye plan yangu ya biashara nilikuwa nipo na huyu ndugu yangu (rafiki) tulikuwa tuna panga wote.

Sasa baada ya baba yake kuumwa hizo pesa anaomba eti ni msaidie hili amtibishe baba yake najaribu kumwambia nitampa nusu kwa bahati mbaya nusu nyingine hana kwa hiyo anaomba pesa zangu eti Mungu atanilipa utu wa mtu ni muhimu kuliko pesa. Na kweli mzee wake ni mgonjwa saana na asipo tibiwa mapema ni Mungu tu

Mimi na shindwa na la kufanya kabisa
Yaani sijui nikimpa wazazi nitawapa taarifa gani au nitapata wapi tena pesa zingine. Nahisi na changanikiwa kabisa

Naona sina bahati kabisa.

Sijui naombeni ushauri
 
Kama hyo pesa ni kubwa huwezi kuipata wewe kama wewe kwa haraka kweny hustling zako usimpe..Tambua ana ndugu kibao mgaiye kidogo ,urafiki unakufa pia ..

Mfano kama pesa ni million 10 mpe hata million 1 au mbili usitoe pesa ndefu...huyo mzee ana mtoto mmoja pekee? baadhi ya marafiki haswa wabinafsi ni wajanja sana .
 
Nina rafiki yangu ambaye tumeshibana saana kwa kauli nyingine sio rafiki tena ni ndugu kabisa
Huyo rafiki yangu baba yake ni mgonjwa saana anaumwa saana Tulikwenda naye hospitali wakasema anahitaji kufanyiwa upasuaji tumboni mwake na hili afanyewe hivo kuna pesa fulani ambazo wanaomba hili apate kutibiwa
Sasa kuna pesa ambazo nilipewa na familia yangu baada ya dada zangu kuolewa wazazi wakaona zile pesa tufanye nazo biashara wakanipa mimi kama mtoto wao wa kiume
Na kwenye plan yangu ya biashara nilikuwa nipo na huyu ndugu yangu ( rafiki) tulikuwa tuna panga wote
Sasa baada ya baba yake kuumwa hizo pesa anaomba eti ni msaidie hili amtibishe baba yake najaribu kumwambia nitampa nusu kwa bahati mbaya nusu nyingine hana kwa hiyo anaomba pesa zangu eti Mungu atanilipa utu wa mtu ni muhimu kuliko pesa
Na kweli mzee wake ni mgonjwa saana na asipo tibiwa mapema ni Mungu tu

Mimi na shindwa na la kufanya kabisa
Yaani sijui nikimpa wazazi nitawapa taarifa gani au nitapata wapi tena pesa zingine
Nahisi na changanikiwa kabisa
Naona sina bahati kabisa

Sijui naombeni ushauri
Mmmh yaan hiyo hali isikie kwa mwenzako tuu tukio la namna hiyo linaumiza sana kichwa
 
Kusaidia si mbaya. Lakini kwani hizo pesa ni zako? Mwambie unahitaji ruhusa ya wazazi wenye hizo pesa ili kubadili matumizi, vinginevyo utapoteza uaminifu mazima kwa wazazi wako na urafiki unakufaga. Grow up
 
Grow up ...
 
grow up......
 
Mkuu kitendo cha kumpa tu ile nusu...tayar Mungu kashakubariki...umerisk kutoa bila kushirikisha wazaz wako na pengine wazaz wako wamekupa pesa ambazo zimeuza ndugu zako ili tu na ww usimame....poleni aisee...kikubwa kama atakupa plan baada ya ww kuzitokomeza pesa zote kwa ajil ya matibabu ya mzee wake na ukaona plans zitafanya kaz mbelen...mpe...

NB..urafiki wenu utakuja tiwa dosar na mwanamke...either wako au wa kwake caz hawatajua mlipotokea....na hapo ndio mtakwisha haswa
 
Ukimpa hela rafiki yako urafiki umeisha, na usipo mpa hela urafiki umeisha. Uchaguzi ni wako ufanyie biashara au umpe rafiki yako awe adui yako. Rafiki yako ana familia yake wakae kitako watatuwe shida zao sio wewe ubebe shida zao. Kwani wao wamewahi kukusaidia nini??
 
Nina rafiki yangu ambaye tumeshibana saana kwa kauli nyingine sio rafiki tena ni ndugu kabisa
Huyo rafiki yangu baba yake ni mgonjwa saana anaumwa saana Tulikwenda naye hospitali wakasema anahitaji kufanyiwa upasuaji tumboni mwake na hili afanyewe hivo kuna pesa fulani ambazo wanaomba hili apate kutibiwa
Sasa kuna pesa ambazo nilipewa na familia yangu baada ya dada zangu kuolewa wazazi wakaona zile pesa tufanye nazo biashara wakanipa mimi kama mtoto wao wa kiume
Na kwenye plan yangu ya biashara nilikuwa nipo na huyu ndugu yangu ( rafiki) tulikuwa tuna panga wote
Sasa baada ya baba yake kuumwa hizo pesa anaomba eti ni msaidie hili amtibishe baba yake najaribu kumwambia nitampa nusu kwa bahati mbaya nusu nyingine hana kwa hiyo anaomba pesa zangu eti Mungu atanilipa utu wa mtu ni muhimu kuliko pesa
Na kweli mzee wake ni mgonjwa saana na asipo tibiwa mapema ni Mungu tu

Mimi na shindwa na la kufanya kabisa
Yaani sijui nikimpa wazazi nitawapa taarifa gani au nitapata wapi tena pesa zingine
Nahisi na changanikiwa kabisa
Naona sina bahati kabisa

Sijui naombeni ushauri
All in all, kumbuka Pesa sio zako. Huwezi fanyia maamuzi hela isiyo yako
 
Mpelekeni huyo mzee hospital ya serikali akaanze matibabu. Halafu njoo na issue ya pesa. Tunaweza kuchangia.
 
Nina rafiki yangu ambaye tumeshibana saana kwa kauli nyingine sio rafiki tena ni ndugu kabisa
Huyo rafiki yangu baba yake ni mgonjwa saana anaumwa saana Tulikwenda naye hospitali wakasema anahitaji kufanyiwa upasuaji tumboni mwake na hili afanyewe hivo kuna pesa fulani ambazo wanaomba hili apate kutibiwa
Sasa kuna pesa ambazo nilipewa na familia yangu baada ya dada zangu kuolewa wazazi wakaona zile pesa tufanye nazo biashara wakanipa mimi kama mtoto wao wa kiume
Na kwenye plan yangu ya biashara nilikuwa nipo na huyu ndugu yangu ( rafiki) tulikuwa tuna panga wote
Sasa baada ya baba yake kuumwa hizo pesa anaomba eti ni msaidie hili amtibishe baba yake najaribu kumwambia nitampa nusu kwa bahati mbaya nusu nyingine hana kwa hiyo anaomba pesa zangu eti Mungu atanilipa utu wa mtu ni muhimu kuliko pesa
Na kweli mzee wake ni mgonjwa saana na asipo tibiwa mapema ni Mungu tu

Mimi na shindwa na la kufanya kabisa
Yaani sijui nikimpa wazazi nitawapa taarifa gani au nitapata wapi tena pesa zingine
Nahisi na changanikiwa kabisa
Naona sina bahati kabisa

Sijui naombeni ushauri
Hapo sina neno naacha Mungu aamue tu akae akilini mwako
 
Huyo rafiki naye anakupa majaribu,angekuwa smart hakupaswa kuomba alipaswa asubiri wewe utampa mawazo gani.

Hiyo pesa sio ya kwako kuutumia kwa sababu yoyote itakuletea shida, tafuta njia nyingine ya kupata fedha hata kuwashirikisha ndugu zake na ndugu zako
 
Back
Top Bottom