Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,939
- 142,020
Lowassa asingefanya huo upuuzi, angefanya mambo ya msingi!
Kama yepi kwa mfano?
Unanena kiMMMSabalkheri wanaJF na Alhamisi njema kwenu nyote na popote pale mlipo pembe ya dunia hii.
Sasa leo hebu tulonge kidogo ki-nadharia tete. Nimekaa kwa muda mrefu sana sasa nikijiuliza juu ya swali hili bila kupata jibu la uhakika.
Tuseme ingetokea mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA ndo angeibuka mshindi wa kinyang'anyiro cha urais mwaka jana.
Halafu baada ya kuanza kazi akafanya mengi kama aliyoyafanya rais wetu wa sasa MTUKUFU Dkt. John Pombe Joseph Magufuli...
Yaani akapiga marufuku safari za hovyo hovyo za nje ya nchi, akaagiza baadhi ya sikukuu za kitaifa tubadili namna tunavyozisherehekea kitaifa, akawa ni mtu wa kukaa nchini muda mwingi na kutuma wawakilishi pale inapobidi, akatumbua majipu hadharani na faraghani, akanunua ndege mpya kwa lengo la kufufua shirika letu la ndege, na kadhalika na kadhalika.
Swali ibuka ni je, watu wanaompinga rais Magufuli sasa hivi, pia wangempinga Lowassa kama angekuwa ndo yeye anayafanya hayo anayoyafanya Magufuli?
Au wangemmiminia sifa kemkem na kusema kwamba acha awanyooshe maana walikuwa wamezoea?
Unanena kiMMM
MKUU ukiona umeingia upinzani kazi yako ni kupinga tu hata kama ni zuri,Mie ni heri ninyamaze kuliko kukaa upinzani.Sabalkheri wanaJF na Alhamisi njema kwenu nyote na popote pale mlipo pembe ya dunia hii.
Sasa leo hebu tulonge kidogo ki-nadharia tete. Nimekaa kwa muda mrefu sana sasa nikijiuliza juu ya swali hili bila kupata jibu la uhakika.
Tuseme ingetokea mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA ndo angeibuka mshindi wa kinyang'anyiro cha urais mwaka jana.
Halafu baada ya kuanza kazi akafanya mengi kama aliyoyafanya rais wetu wa sasa MTUKUFU Dkt. John Pombe Joseph Magufuli...
Yaani akapiga marufuku safari za hovyo hovyo za nje ya nchi, akaagiza baadhi ya sikukuu za kitaifa tubadili namna tunavyozisherehekea kitaifa, akawa ni mtu wa kukaa nchini muda mwingi na kutuma wawakilishi pale inapobidi, akatumbua majipu hadharani na faraghani, akanunua ndege mpya kwa lengo la kufufua shirika letu la ndege, na kadhalika na kadhalika.
Swali ibuka ni je, watu wanaompinga rais Magufuli sasa hivi, pia wangempinga Lowassa kama angekuwa ndo yeye anayafanya hayo anayoyafanya Magufuli?
Au wangemmiminia sifa kemkem na kusema kwamba acha awanyooshe maana walikuwa wamezoea?
MKUU ukiona umeingia upinzani kazi yako ni kupinga tu hata kama ni zuri,Mie ni heri ninyamaze kuliko kukaa upinzani.
Kibaya zaidi siasa za tz zimejaa unafiki,watu wanatumia siasa kwenye kila kitu, hawaoni mazuri ya upande wa pili hata kidogo!
Hivi huu uozo anaousafisha mtukufu Rais, ulisababishwa au ulitoa chini ya utawala wa chama gani???? watu walewale walioasisi sehemu ichafuliwe ndo wanaoisafisha na bado wanataka wapongezwe kwa juhudi hizo.....
kasome ilani ya uchaguzi wa Chadema, maana Mpaka sasa CCM sijui washafanyia kazi hata moja katika ilani yao.Kama yepi kwa mfano?