Nimeona ndoa nyingi na nimesikia mengi kuhusu ndoa. Kwa sehemu kubwa wengi hawana furaha na maamuzi yao ya kuoa au kuolewa.
Kabla ya ndoa , mioyo ya wengi uwa wanaamini mwenza wake ni chombo Cha kumtoshereza na tamanio kubwa kabisa la maisha haya yaani mapenzi.
Wanaume utamani sana mke abaki kuwa chombo cha kumstarehesha. Stress reliver, ambaye mme akitoka kwenye mihangaiko akikutana na mpenzi ajisikie mwepesi na hari ya kuendelea kufight na maisha.
Kuanzia muonekano wake, anavyozungumza, anavyo chat na wewe iwe full mshawasho.
But ndoa nyingi ni stress na majukumu.
Jukumu la kuwa mama au baba sio lepesi kabisaa. Linapoteza furaha na nafasi ya kuyaudumia mahaba. Wanandoa mda wote wanawaza matatizo, mahitaji ya watoto, shida za ukoo, visa na Mikasa ya wakwe, mashemeji, mawifi na vurugu nyingi zote hizo zinaondoa utulivu wa kuyafurahia mapenzi.
Furaha ya mepenzi uwe huru kifikra, privacy, ukitaka uchape jikoni, bafuni, kwenye gari, au juu ya Kochi etc.
Msisitizo: Kama ni mtu unayetamani exciting sex life , usihadaike na ndoa.