Ange Kagame Vs Doreen Lowasa

Mbona hamna picha ya huyo doreen weeewe chezea mtoto wa kagane ntoto wa lowasa ni saga jiwe tu lileee
 
true say..n mwendo wa tv chogo
Huku Afrika tunasifika kwa vichuguu tv chogo..kwa hiyo mtoto wa raisi anatakiwa adumishe mila za kiafrika si mambo ya flat screen viflat wapeleke nje...
 
Mbona kama mkalimara...!!!???????
 
Huyo ni yule wa Kagame bana

Mbona hamna picha ya huyo doreen weeewe chezea mtoto wa kagane ntoto wa lowasa ni saga jiwe tu lileee

wakuu si muende fb kisha tafuteni jina la Doreen Lowassa

hata mie nilileta hapa baada ya kuona wanafanana mnoo

japo pia kama unamfahamu Ange utajua hao wawili ni tofauti
 
wakuu si muende fb kisha tafuteni jina la Doreen Lowassa

hata mie nilileta hapa baada ya kuona wanafanana mnoo

japo pia kama unamfahamu Ange utajua hao wawili ni tofauti

Huyo anayejiita Doreen Lowassa anatumia picha za Ange Kagame na kama unataka kuthibitisha basi check Insta ya Ange Kagame utakuta picha ambazo zipo kwenye Facebook ya Doreen
 
wakuu si muende fb kisha tafuteni jina la Doreen Lowassa

hata mie nilileta hapa baada ya kuona wanafanana mnoo

japo pia kama unamfahamu Ange utajua hao wawili ni tofauti

Hiyo Facebook ni ya Doreen Lowassa na Insta ni Official ya Ange Kagame kwa hiyo ni picha za mtu mmoja ambaye anaitwa Ange Kagame.
huyo Doreen anatumia kutafutia umaarufu tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ