emanuel goa
JF-Expert Member
- Mar 19, 2018
- 522
- 585
Nenda nww kaolewe mitalaNimempenda mkuu
Haya sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uwe na bwawa vilevile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha huko sijui kama nafiti..mi ntaka muonekano tu
Sawa. Tafuta nauliNtakuja nijionee siku
Sawa. Tafuta nauli
9 kwa 11Hivi Hawa watu wanalala kitanda size ipi? 6*6 haiwatoshi
Asilimia kubwa ya Wanyarwanda wanaume ni warefu...
Inawezekana9 kwa 11
Wanyarwanda wengi ni wafupi tu kama waha ila ispokuwa watusi ndio warefu
Kubwa zaidi ukipata mtusi mzuri ni mzuri kweli kweli ila ukipata mtusi mbaya ni mbaya haswa meno kama mussa wa captain Phillips
Wanyarwanda watusi wafupi pia wapo nimewaona sana wazuri na wabaya wapo.Kwa sura ni sawa ila shida ni kwenye tabia zao za wivu.Wanyarwanda wengi ni wafupi tu kama waha ila ispokuwa watusi ndio warefu
Kubwa zaidi ukipata mtusi mzuri ni mzuri kweli kweli ila ukipata mtusi mbaya ni mbaya haswa meno kama mussa wa captain Phillips
[emoji1]Nshawahi mtokea huyo manzi
Mtabisha ! [emoji28]
Unabisha ! ?[emoji1]
Asa sisi wenye urefu medium size tutawavutia kina nanii?Ninavutiwa nao
NipoWamependeza.hivi tz kuna wakaka warefu kama huyo mume?
Teh ...[emoji28]Nipo
Asa sisi wenye urefu medium size tutawavutia kina nanii?
Duuh na bado anakua!!Nna futi 6.1 sina hakika km ananizidi bwana harusi. Sema nimeoa miaka 21 iliyopita. Mke pia ana futi 5.4. Mtoto wangu wa kwanza mwenye miaka 20 kasoro,kwa sasa ananizidi urefu!
Wa jpm?Duh...
jamaa ni tall balaa...
ila mshkaji mpka karuhusiwa kuoa, imefanyika vetting ya hatar na noma sana
Jibu lako, limenisisimuajeee!Tena saaana, imekuuma ?