Umeonaaaaa we unajua kupembua mambo!
Thubutu...yke angerudishwa miguu juu kichwa chiniIna maana AY hakumuona huyu wakati anarusha rusha ndoano zake pale Chigali...
Huyu aliyemuoa bint wa kagame...sijui akijipekecha vp mpaka kumpata mtoto wa kagame ambaye baba yake ni mtata!
Najua watu wengi hadi humu jf miudenda ilikuwa inatutoka tukimtamani bint huyo
Sasa mchz kajiopolea!
Ova
View attachment 981765
Sent using Jamii Forums mobile app
OkkkHata Mabinti nao hutaka sana kuolewa na Wanaume wanaojielewa, so usidhani Jamaa alijipachika tu bali hata Binti naye alijilengesha vivyo hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
He he he he
Inawezekana hata 10
Urefu naona ilikuwa moja ya kigezoJamaa Tolu kawapiga gape wote. Baba mtu na mwanae
Chalii asishangae akawa ameolewa yeye badala ya kuoa,kila maamuzi lazima yapitie kwa baba mkwe kwanza.
Duh vp kwenye suala la kpeana haki ya msingi kwa familia mzee hpo ataingilia yaani kutaka kujuaChalii asishangae akawa ameolewa yeye badala ya kuoa,kila maamuzi lazima yapitie kwa baba mkwe kwanza.