Angalizo..

Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,976
24,488
Nionavyo taasisi nyingi zinazopigania haki sawa kwa wanawake zinachochea uvunjifu wa ndoa mana zinawapa ujasiri mkubwa.
 
Ni suala la wahusika (wanawake) kutumia akili yao, na kama wanafaidika na kuvunjika huko kwa ndoa waendelee kama vinginevyo binadamu ameumbwa na utashi na hivyo kusikiliza kila kitu bila kuchuja ni uhayawani!
 
Back
Top Bottom