Angalizo; Tusipokee bora madawati bali madawati yenye ubora

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Ndugu wapendwa,

Naomba wakati zoezi la mawadawati likiendelea niwakumbushe wapokeaji wapokee kwa hekimà na kuyachunguza kama yanaubora.Nasema hivi kuna madawati hapa Dar mengi tu yalitolewa na Tigo na CRDB na makampuni mengine leo hayapo tena.

Madawati meengine hayafiki hata miezi sita sio sababu ya watoto watundu ubora wà madawati, Leo hii Tabata na kule Kimara kuna garage zimegeuka kuwa sehemu ya kutengenezea madawati na mashine zimeshushwa baada ya kusikia hizi issue za madawati.

Tunaunga mkono juhudi za rais na ma RC wetu pamoja na hayo Mungu awape nguvu kupata watu wà kutatua ubora wa madawati wanayopokea.

Mbarikiwe
 
Kweli lazima ucheke kwa dharaaaaaaau, ivi wakati wenzetu wanamalizia kupeleka laptop na computer za chogo mashuleni ili wanafunzi washindane katika ulimwengu huu wa sayansi na technologia sisi tunajadili madawati, kiukweli hii nchi ndo tunapata uhuru mwaka huu 2016.
Asanteni sana maja*****mbazi from ccm kwa jinsi mlivyoturudisha Enzi zileeee za zama za mawe
 
Back
Top Bottom