Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,682
- 32,193
Ndugu wapendwa,
Naomba wakati zoezi la mawadawati likiendelea niwakumbushe wapokeaji wapokee kwa hekimà na kuyachunguza kama yanaubora.Nasema hivi kuna madawati hapa Dar mengi tu yalitolewa na Tigo na CRDB na makampuni mengine leo hayapo tena.
Madawati meengine hayafiki hata miezi sita sio sababu ya watoto watundu ubora wà madawati, Leo hii Tabata na kule Kimara kuna garage zimegeuka kuwa sehemu ya kutengenezea madawati na mashine zimeshushwa baada ya kusikia hizi issue za madawati.
Tunaunga mkono juhudi za rais na ma RC wetu pamoja na hayo Mungu awape nguvu kupata watu wà kutatua ubora wa madawati wanayopokea.
Mbarikiwe