Kawaida inapofika mwezi wa March kila mwaka kiwango cha joto kali huongezeka mara dufu katika maeneo mengi Afrika hasa Afrika ya Mashariki kati na Africa ya Magharibi.
Hii inatokana kuwa maeneo haya yapo karibu mno na mstari wa ikweta na jua huwa lipo usawa na mstari wa ikweta mwezi March.
Kinachotokea ni kuongezeka kwa joto kali, ardhi kuwa kame, upungufu wa maji ardhini, upungufu wa maji ktk miili yetu wanaadam, maradhi yanayosababishwa na ongezeko la joto kama vile pressure, vipele ktk ngozi na maumivu ya kichwa na hata bawasili na vidonda vya tumbo.
Kinachotakiwa kufanya sisi ni haya yafuatayo
1. Kunywa maji kwa wingi kuliko hali ya kawaida unayokunywa(kiwango cha juu lita 5. Cha chini glass 12 kwa siku )
2. Kufanya mazoezi ili kupunguza na kujiepusha na pressure na kukupa spidi ya kunywa maji mingi
3. Kutokutembea masafa marefu yasiokuwa na ulazima
4. Kukinga maji na kuyahifadhi ili kuweka akiba kwa matumizi nyumbani ktk kipindi hichi cha ukame hasa wa maji
Kubwa zaidi kumbuka kunywa maji kwa wingi kadiri ya uwezo wako
Tambua kuwa
"Kunywa maji kwa kuona kiu tu jijue kuwa akili yako imechoka"