Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,185
- 7,490
Wakuu, niangalizo tu naomba kutoa kwa serikali yetu kuwa makini sana kila inapo au itakaposhughulika na suala lolote ambalo kwa namna moja ama nyingine litagusa mikataba ya kimataifa.
Wakuu, kivunja au kukiuka mikataba au sheria za kimataifa ni jambo la hatari.Tena ni hatari kwa nchi zetu ndogo ndogo hizi kuliko ilivyo kwa nchi kubwa kubwa.
Kwa hiyo ni vema tukachukua kila hatua inayoweza kusaidia uchumi wa nchi yetu ila wakati huo huo tukachukua tahadhari kubwa kuhakikisha kuwa tunaenda sambamba na sheria na mikataba ya kimataifa ili kukwepa uwezekano wa kushitakiwa kwenye mahakama za kimataifa na kushindwa kisha kupigwa mafaini ya ajabu ajabu au kuwekewa vikwazo ambavyo vinaweza kiturudisha nyuma.
Naomba kuwasilisha.