george tiru
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 200
- 147
Naomba tupaze sauti kwa wadau wote, hivi ninavoandika kuna gari za jamaa angu ziko bukoba wiki ya 3 anasubiri advance, sasa hyo ni kazi kweli?na yeye hakujua kama itakua hivi, kaweka mafuta yake kasukuma gari,sasa ni kilio.Asante kwa taarifa mkuu
Mian contractor ni Budget Movers, kuna jamaa anaitwa Emmanuel na JamesNo kampuni gani iliyopewa tenda na Nani contact person?
Hawa ofisi zao ziko External , ilipo garage ya Upendo Bus services., ni pasua kichwa.Asante. Na office zao ziko wapi? Maana kuna mmoja yupo ushirika na yeye ana same project.
Huyu jamaa yako alikuwa anaenda kupitia bukavu mkuu? Kama mwenye gari hajalipwa dereva si atakuwa anakufa njaa? Inasikitisha sanaNaomba tupaze sauti kwa wadau wote, hivi ninavoandika kuna gari za jamaa angu ziko bukoba wiki ya 3 anasubiri advance, sasa hyo ni kazi kweli?na yeye hakujua kama itakua hivi, kaweka mafuta yake kasukuma gari,sasa ni kilio.
Asante. Na office zao ziko wapi? Maana kuna mmoja yupo ushirika na yeye ana same project.
Hapana, zinapita kampala uganda wanaenda Bunia, ni shida sana chaliiHuyu jamaa yako alikuwa anaenda kupitia bukavu mkuu? Kama mwenye gari hajalipwa dereva si atakuwa anakufa njaa? Inasikitisha sana
Makundi na wewe unapakia wfp?Ushirika niko mimi kampuni ni Makundi Transport and General supplies
Makundi na wewe unapakia wfp?
Acha kuchafua watu na kampuni zao tafadhali, nakushauri ungeweka hapa mkataba mlioingia na hiyo kampuni lingekuwa jambo zuri katika kujenga hoja yako.Mian contractor ni Budget Movers, kuna jamaa anaitwa Emmanuel na James