Watumishi wengi sana wanalia kuwa majina yao hayapo kwenye orodha ya madeni na wana ushahidi wote kuwa wanadai. Angalizo langu natoa kwa zoezi linalokuja la kupandisha watumishi madaraja. Hili tatizo lisijitokeze tena. Hali ya sasa hivi hasa katika halmashauri nyingi haieleweki. Ndani ya halmashauri moja watumishi ajira mwaka mmoja lakini wako ngazi tofauti za mshahara. Sasa hivi kuna makundi mawili yamefungana na wote wanastahili kupanda mfano ajira 2012 na ajira 2013. Ili kuepuka kuzalisha madeni mapya mnapaswa kuwa makini sana.
Anamaanisha kada moja!Sina hakika kama nimekuelewa vema. Unaposema ndani ya halmashauri.... (see bold), je wanakuwa wako kwenye kada moja?
Kama hawako kwenye kada moja tuseme mfano mwingine ni mchumi, mwingine ni mwanasheria na wote wamesoma chuo kimoja wakahitimu mwaka mmoja.
Kwenye kuandaa mishahara ya watumishi kuna kitu wapare tunaita "JOB EVALUATION" hiyo jobu evaluesheni ni kwamba kwanza, wanaorodhesha kazi za kila kada kazi zooooote, halafu kila kazi inapewa bei yake, kwa mfano kama ni mwalimu wanaweza kufanya hivi:
1. Kuandaa somo Tshs.10,000/=
2. Kufundisha Tshs.20,000/=
(ni mfano tu huu)
wakisha maliza kuorodhesha bei za kila kazi (kwa kutumia job descriptions) wanajumlisha hizo bei za kila kazi ndio hapo sasa unasikia mshahara wa Nurse ni Tshs.1,200,000/= (ni mfano jamani msinirushie mawe)
Sawa Dr. ahsante kwa kunieleweshaAnamaanisha kada moja!
Sina hakika kama nimekuelewa vema. Unaposema ndani ya halmashauri.... (see bold), je wanakuwa wako kwenye kada moja?
Kama hawako kwenye kada moja tuseme mfano mwingine ni mchumi, mwingine ni mwanasheria na wote wamesoma chuo kimoja wakahitimu mwaka mmoja.
Kwenye kuandaa mishahara ya watumishi kuna kitu wapare tunaita "JOB EVALUATION" hiyo jobu evaluesheni ni kwamba kwanza, wanaorodhesha kazi za kila kada kazi zooooote, halafu kila kazi inapewa bei yake, kwa mfano kama ni mwalimu wanaweza kufanya hivi:
1. Kuandaa somo Tshs.10,000/=
2. Kufundisha Tshs.20,000/=
(ni mfano tu huu)
wakisha maliza kuorodhesha bei za kila kazi (kwa kutumia job descriptions) wanajumlisha hizo bei za kila kazi ndio hapo sasa unasikia mshahara wa Nurse ni Tshs.1,200,000/= (ni mfano jamani msinirushie mawe)
mbona unacheka mkuu Myahudi Jr II ?!hehehehehehehehehehehe
mbona unacheka mkuu Myahudi Jr II ?!
Watumishi wengi sana wanalia kuwa majina yao hayapo kwenye orodha ya madeni na wana ushahidi wote kuwa wanadai. Angalizo langu natoa kwa zoezi linalokuja la kupandisha watumishi madaraja. Hili tatizo lisijitokeze tena. Hali ya sasa hivi hasa katika halmashauri nyingi haieleweki. Ndani ya halmashauri moja watumishi ajira mwaka mmoja lakini wako ngazi tofauti za mshahara. Sasa hivi kuna makundi mawili yamefungana na wote wanastahili kupanda mfano ajira 2012 na ajira 2013. Ili kuepuka kuzalisha madeni mapya mnapaswa kuwa makini sana.
Anapandishwa cheoHR anapokuwa alifanya uzembe wa kutopeleka majina anafanywa nini kwa mfano!!
We ni nan mpaka uwape angalizo? Hv unadhan n kgezo cha miaka tu ndicho huwa knatumika kumpandsha mtu cheo? Afu usipopandshwa cheo unakuwaje unadai? Yan anazalshaje madeni? Jitahd kujua mambo kabla ya kuhukumu brother. By the way kupandsha vyeo kulsmamishwa na mheshmiwa mwaka 2016 mwanzon hao wa 2012 wangepanda lin na hao wa 2013? Msipende kuwalaumu mahr ofcourse kuna makosa ya kbnadamu sio zgo lote lao. Afu pia hao 2012/2013 vyeo vyao vitatokana na mwongozo utakao toka utumish na wanaweza wasipande vilevile.Watumishi wengi sana wanalia kuwa majina yao hayapo kwenye orodha ya madeni na wana ushahidi wote kuwa wanadai. Angalizo langu natoa kwa zoezi linalokuja la kupandisha watumishi madaraja. Hili tatizo lisijitokeze tena. Hali ya sasa hivi hasa katika halmashauri nyingi haieleweki. Ndani ya halmashauri moja watumishi ajira mwaka mmoja lakini wako ngazi tofauti za mshahara. Sasa hivi kuna makundi mawili yamefungana na wote wanastahili kupanda mfano ajira 2012 na ajira 2013. Ili kuepuka kuzalisha madeni mapya mnapaswa kuwa makini sana.
Watumishi wengi sana wanalia kuwa majina yao hayapo kwenye orodha ya madeni na wana ushahidi wote kuwa wanadai. Angalizo langu natoa kwa zoezi linalokuja la kupandisha watumishi madaraja. Hili tatizo lisijitokeze tena. Hali ya sasa hivi hasa katika halmashauri nyingi haieleweki. Ndani ya halmashauri moja watumishi ajira mwaka mmoja lakini wako ngazi tofauti za mshahara. Sasa hivi kuna makundi mawili yamefungana na wote wanastahili kupanda mfano ajira 2012 na ajira 2013. Ili kuepuka kuzalisha madeni mapya mnapaswa kuwa makini sana.
hahahahahah, kwa sasa nafanya kazi za ndani kwa mtu ili nipate hela ya bando na hela ya kwendea form ngapi vileeeeeeeeeee???!!!!Umemaliza Form Four juzi leo umeshajua kukokotoa mishahara
Usicheke mkuu ndio uhalisia nawapa hawa HRHahahahajajaj
Kwani na wewe ni nani hadi unipangie cha kuandika?We ni nan mpaka uwape angalizo? Hv unadhan n kgezo cha miaka tu ndicho huwa knatumika kumpandsha mtu cheo? Afu usipopandshwa cheo unakuwaje unadai? Yan anazalshaje madeni? Jitahd kujua mambo kabla ya kuhukumu brother. By the way kupandsha vyeo kulsmamishwa na mheshmiwa mwaka 2016 mwanzon hao wa 2012 wangepanda lin na hao wa 2013? Msipende kuwalaumu mahr ofcourse kuna makosa ya kbnadamu sio zgo lote lao. Afu pia hao 2012/2013 vyeo vyao vitatokana na mwongozo utakao toka utumish na wanaweza wasipande vilevile.