Unaona ee, ndo maana watu husema za kuambiwa ongeza na zako.Kitabu cha Rich Dad Poor Dad kime reflect zaidi maisha ya Marekani, mfano poor Dad kibongobongo ni tajiri mkubwa tu lkn Kiyosaki anamuita maskini...Pia sheria za kodi na jinsi ya kupata mkopo benki ni tofauti sana kati ya Marekani na huku kwetu.
Genye yaqkufanikiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivyo vitabu sisomagi. Vinatia tu genye za kufanikiwa wakati watu tumejaa mizigo ya lazima. Kufanikiwa ni ndumba plus tunguri na mikataba ya kuzimu. Alafu wanakuja kutuandikia vitabu *****. Hao ndo mashetani wakubwa wanyonya maskini alafu ooh poor dad rich dad.[emoji32][emoji32][emoji32]
Si hayo tu mkuu. Poor dad lifestyle itakuepusha na matatizo mengi kama vile kisukari, pressure, figo, moyo, nk. Lakini ni bora kuishi maisha ya umasikini wa kadri na utajiri wa kadri kuliko kuishi maisha ya umasikini au utajiri uliopindukia.Hiki kitabu ukikisoma mwanzo mwisho ama kweli kinatia hamasa na kama unaajira ambayo haieleweki unaweza andika barua siku hiyo hiyo
Lakini kitabu hiki kimekaa kinadharia zaidi na vitendo vyote vimeachwa kwa msomaji, sote tunajua ni jinsi gani vitendo vilivyovigumu hata katika masomo yetu ya kawaida.
Sasa huyu anayeitwa poor dad ndo anareflect more than 80% ya maisha ya mwanadamu wa kawaida na ambavo wengi huwa tunafikiri, kwa mfano kiyosak anasema kujenga nyumba ni hasara, mshara mkubwa si lolote, usikope pesa etc etc. mhii sawa.
Sasa ukichagua maisha ya huyu anayeitwa rich dad make sure unatoboa narudia tena make sure unatoboa vinginevyo hawa wanaonekana wanafuata maisha ya poor dad ndo wataonekana matajiri mbele ya macho ya wengi
Zile p;rinciple ukizifuata mwanzoni watu lazima watakuona wa ajabu na usipofanikiwa utakuwa wa ajabu zaidi hadi miti itakucheka, kwa hiyo ndugu zangu tupambane haswa tuanapochagua maisha ya rich dad siyo mziki wa kitoto hakuna lele mama tuset stratege za kueleweka ukifanikiwa maisha ni mteremko mnoo na hawa wanaoonekana matajiri kwa mishara utawaajiri baadae
othrewise follow poor dad life style mabayo ndo maisha ya wanadamu walio wengi.
Mi nimetoa angalizo kulingana na mazingira yetu africa, na wala sijasema ni kibaya ndo maana nasisitiza if you choose rich dad lifestyle jitahididi ufike level fulani otherwise utakuwa kinyume chake.Nimekisoma hiki kitabu zaidi ya mara moja na kiukweli haijalishi uko Tz au Marekani, nidhamu ya watafutaji na matajiri inafanana.
Nadhani ndugu yetu hujakisoma vzr hiki kitabu mfano unasema Robert anashauri watu wasichukue mikopo..ambacho sio kweli Robert anashauri watu wasichukue mikopo wakabuy luxury goods, ila anasema mikopo ni mizuri.
Anakwambia ili kufanikiwa you have to start small ili ujifunze pia kutafuta watu ambao wako tayari kutufundisha biashara 'mentors' maana ukiingia kichwa kichwa lazima ulie. Look in 100 deals take 1. Sasa wewe unaangalia 1 deal then unaitake kama ilivyo lazima upige Ukunga.
Ingia hapa www.pdfdrive.net , afu andika Kitabu unachotaka mkuuHivi kuna sehemu Tunaweza pata wazarendo tukapata Hivi vitabu kwa pdf?