Angalieni Star tv live NOW!

Unadhani mungu angemuita Abraham kwa jina lake la awali asingeitika?! Yani unasema mungu alimpa jina ili iwe simple kumu identify mahala popote, yaani unaamini kuna majina magumu hata kwa mungu hadi naye atafute majina simple?!
Nilikuuliza, je Yesu/Jesus naye alipewa jina la ubatizo alipobatizwa na Yohana?! Nini maana ya ubatizo ni jina jipya au nini?! Na kwanini ubatizwapo upewe majina ya kuzungu tu?! Kuna uhusiano gani haya Majina ya kizungu au kiarabu na maisha ya kiroho?! Natanguliza shukrani.
 
Mim Sitak Kabisa Hoja Za Udin Mana Twaweza Fika Mbali Zaid

kira Mtu Na Iman Yake Kama Kuna Watu Wanatumia Mwanvuli Wa Dini Kupata Pesa Waache Tuu Ipo Siku Yao
 
Ukimjadili Yesu kimwili tu utavurugika na utafungua makanisa hata mia!

Hawa mbulumundu wa Sloam kwa kweli ni wa kupuuzwa!

Wao shetani aliuawa na mwanzilishi wa kanisa mwaka 2008. Mnuo mwenyewe alikufa kwa tetenus ila bado wamekomaa eti alipaa mbinguni!

Utapeli wa dini hautakuja kuisha kamwe!!!
 
Uhuru wa kuabudu umezungumzwa kikatiba!
Wako wanaoabudu Watu... Ng'ombe... Mizimu... Mapango... Milima... Mapepo... Malaika... au viumbe wengine wanaojulikana na wasiojulikana minghairi ya muumba. Ama wengine "hujifanya" hawaamini chochote hadharani huku wakiuficha ushirikina wao nyoyoni. Waacheni waabudu ama waamini msichokiamini na wao midhali hawaamini mnavyomini hakuna vita!!!!
Muwe na sikukuu njema yenye upendo na amani tele wandugu πŸ˜ŽπŸ˜€πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…