Angalieni simu zenu WCF wanaita

Mimi nimepigwa simu na interview nafanya mwezi wa saba
 
Inawezekana labda teari maana jana website yao ilikua nzito sana
 
Kuna watu hapa uongo wa kitoto sio fani yetu . Angalia ni member toka lini na km ninahusika na upuuzi wowote hapa jamvini. Ukipitia hii thread utagundua watu kadhaa wamepigiwa. Paper ilikuwa ngumu ile kwahiyo wewe jipange kwa wakati mwingine.
 
Anipe nani hizo habari zaidi ya WCF?
 
Wadau msipuuzie huo ujumbe ,hizi habari ni za kweli .ninathibitisha mimi pia jana walinipigia.msichoke kuwa karibu na simu zenu huenda mkapigiwa siunajua tulikua post nyingi na watu wengi, na mitihani ilikuwa rahisi vile.
acheni niwe balozi wa WCF kwenu ,inawezekana hawa jamaa wapo FAIR. Namba waliyotumia ni 022.....08 kuna sauti ya nyororo itakuwa inakupa wito wa interview katika tarehe utakayopangiwa.
 
Ni kweli Mkuu hata mm nimepigiwa jana na Landline inaishia na 8 mwisho.
Interview ni July.
 
nimepigiwa na dume, jana mida ya saa 8 mchana
 
Mkuu uliomba kada/posi
tion gani?
 
Kaeni kusubili simu za ORAL interview kuna watu wamepigiwa kwenda kusaini mikataba , hizo ORAL ni formality...amken watanzania...WCF hoyee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…