...servic charg hiyo...bt hata ivo nadhan tanesco wamepandisha gharama za umeme..maana umeme nliokuwa natumia wiki..sasa siku tatu tu kwishney....
asilimia zaidi ya 90 ya watanzania ni masikini
itabidi iwe hivyo hata hizo unit 10 kwa mwezi nyingi mimi nataka 1unit kwa mwezi.
Hii nchi kila mtu ajigaie anavyoweza sasa
Ukishaona kwenye nchi, wananchi wake wanawaza hivi basi ujue hapo hakuna nchi tena!!! Masikini Tanzania yetu inaharibikiwa huku tunaiona kwa macho yetu!! Ngoja nami niangalie najigawia vipi hii nchi mpaka huu utawala legelege ukiondoka tu nami nasukuma vogue ya 2014
Ni kweli mkuu hata mimi nilishangaa umeme nilikuwa natumia wiki sasa ni siku 4,na sasa unit moja nadhani ni TZS 375 na ushee hivi na kwa siku umejibana matumizi ni unit 3-4 siku hizi nazima kila kitu umeme umebaki wa kuwasha usiku tu na kusikiliza mjadala wa Escrow.
kuna kitu nataka nikuelekeze lakini kwanza uwe unajua kwa mwezi unatumia wastani wa Unit ngapi na ni nzuri kama ni pungufu ya 75 units.
Utaratibu kubadili tarifu hadi uwe na mwaka na matumizi yawe chini ya ya unit 50 name so chin I ya unit 20 wastani kwa mwezi.Kiukweli kabisa hapo kinachofanya kazi ni software inayotoza pesa na kwa units. Mambo ya electronics wenyewe wazungu sie kwetu huku tunajikongoja.
Jaribu kubadili tariff kama matumizi yako sio makubwa.
Au inawezekena kuna kishoka jirani yako amekuchezea kamchezo ili umtafute avute kitu kidogo....servic charg hiyo...bt hata ivo nadhan tanesco wamepandisha gharama za umeme..maana umeme nliokuwa natumia wiki..sasa siku tatu tu kwishney....
Hahahahhaah ujanja ni ku-bypass meter nikishawahi fanya kitambo sana hata uwe na jiko, ac, na mauchafu yote kitu unit 10 tu kwa mwezi
Mkuu na kwenye mabenki kuna kitu wakiita 'Monthly maintenance fees'. C mchezoHuu ushenzi unaoitwa service charges huwa mie sielewagi kabisa,mbona vocha za simu tukinunua hakuna service charges? Huu wizi lazima tuutokomeze kama sijanunua umeme mwezi huu kwanini mwezi unaokuja wanikate? Hizo service charges tunazolipia hawajarudisha tu gharama zao? Aisee uchaguzi wa mwaka 2015 lazima wagombea uraisi watuondolee huo ushenzi.