NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Jun 29, 2013 #1 katuni juu ya Obama kwenye Gazeti la nchini Kenya.
N Nkutupa Senior Member Joined Feb 20, 2013 Posts 187 Reaction score 106 Jun 29, 2013 #2 Kazi kweli kweli
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Jun 29, 2013 Thread starter #3 Tena kazi hasa kimewahuma jamaa kupitiliza!!!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Jun 29, 2013 #4 NAPITA said: Tena kazi hasa kimewahuma jamaa kupitiliza!!! Click to expand... Mkuu wakenya imewauma kutuona jirani zao tunavyoingizwa mkenge na raisi JK ambaye kwa kifupi anajulikana kama 'mwanaume omba-omba wa kwanza duniani' Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
NAPITA said: Tena kazi hasa kimewahuma jamaa kupitiliza!!! Click to expand... Mkuu wakenya imewauma kutuona jirani zao tunavyoingizwa mkenge na raisi JK ambaye kwa kifupi anajulikana kama 'mwanaume omba-omba wa kwanza duniani' Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Jun 29, 2013 Thread starter #5 Daudi Mchambuzi said: Mkuu wakenya imewauma kutuona jirani zao tunavyoingizwa mkenge na raisi JK ambaye kwa kifupi anajulikana kama 'mwanaume omba-omba wa kwanza duniani' Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums Click to expand... Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kwa mausiana ya kimataifa amejitaidi tatizo mausiano ya Wananchi wake na mambo yao ndo tatizo ajipange!
Daudi Mchambuzi said: Mkuu wakenya imewauma kutuona jirani zao tunavyoingizwa mkenge na raisi JK ambaye kwa kifupi anajulikana kama 'mwanaume omba-omba wa kwanza duniani' Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums Click to expand... Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kwa mausiana ya kimataifa amejitaidi tatizo mausiano ya Wananchi wake na mambo yao ndo tatizo ajipange!
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,059 Reaction score 2,161 Jun 29, 2013 #6 Km kuomba jk yuko vzr,hautokaa maishan mwako kuwa anaenda palestina,afghanstan,korea nk.mzee wa uk,usa & china
Km kuomba jk yuko vzr,hautokaa maishan mwako kuwa anaenda palestina,afghanstan,korea nk.mzee wa uk,usa & china
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Jun 29, 2013 Thread starter #7 Kila mtu anamawazo yake na mitazamo yake.
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Jun 29, 2013 #8 fast j.t haichagui pa kutua na wala gharama!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Jun 30, 2013 #9 NAPITA said: Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kwa mausiana ya kimataifa amejitaidi tatizo mausiano ya Wananchi wake na mambo yao ndo tatizo ajipange! Click to expand... mahusiano ya kimataifa kwa maslahi ya nani mkuu???
NAPITA said: Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kwa mausiana ya kimataifa amejitaidi tatizo mausiano ya Wananchi wake na mambo yao ndo tatizo ajipange! Click to expand... mahusiano ya kimataifa kwa maslahi ya nani mkuu???