Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,213
- 20,988
Zelesky ni mwanaume wa shoka hizo tabia za kuearamba miguu mabeberu wanazi Marais wenu wa shitholes countries.
Usisahau hicho kikao ilikuwa Zele asaini mkataba wa kuipa Marekani rare minerals na Mwamba Zele akachomoa. Sasa aliyepoteza nani?Sasa kaenda kufanyaje? Alitarajia Win Win mbele ya Trump/US? Ni kama kaenda kutibua
Hicho kinyago sioni kama kina ufanano na sura ya NyerereHv kile kinyago ni nyerere au mtu kamili