-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 1,669
- 2,803
Yani leo nimegundua kuwa wa TZ lugha inatupiga chenga sana kiasi kwamba tunashindwa kuelewa yanayozungumzwa na badala yake tunahamia kwenye ushabiki ili tuonekane kuwa tunauelewa.
Kwakifupi raisi Zelensky hajaonekana mnyonge na wala hakuna aibu aliyoipata kama wengi wanavyonena. Ameonyesha ujasiri sana kama Raisi wa inchi ambaye yupo kwaajili ya maslahi ya taifa yake. Hakika huyu ni mwamba.
WaTz tujifunze lugha tafadhali.