utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Mar 11, 2014 #1 Utamlisha mmoja mara mbili Attachments 1394548452747.jpg 34.7 KB · Views: 233
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Mar 11, 2014 #2 Kushoto kicheko , kulia kilio
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Mar 11, 2014 Thread starter #3 HARUFU said: Kushoto kicheko , kulia kilio Click to expand... Amempunja
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Mar 11, 2014 #4 utafiti said: Amempunja Click to expand... Maalim wangu wewe ungepewa hiyo kazi, mathalani mama ametoka kwa dharula ya dakika kumi hivi Labda anapika na wewe huku ndio uko na mapacha, ungeiweza hiyo kazi?
utafiti said: Amempunja Click to expand... Maalim wangu wewe ungepewa hiyo kazi, mathalani mama ametoka kwa dharula ya dakika kumi hivi Labda anapika na wewe huku ndio uko na mapacha, ungeiweza hiyo kazi?
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Mar 11, 2014 Thread starter #5 HARUFU said: Maalim wangu wewe ungepewa hiyo kazi, mathalani mama ametoka kwa dharula ya dakika kumi hivi Labda anapika na wewe huku ndio uko na mapacha, ungeiweza hiyo kazi? Click to expand... Kama wamefanana sana mkuu? Lazima mmoja avae nguo tofauti kwanza
HARUFU said: Maalim wangu wewe ungepewa hiyo kazi, mathalani mama ametoka kwa dharula ya dakika kumi hivi Labda anapika na wewe huku ndio uko na mapacha, ungeiweza hiyo kazi? Click to expand... Kama wamefanana sana mkuu? Lazima mmoja avae nguo tofauti kwanza
stable woman JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 3,884 Reaction score 4,484 Mar 11, 2014 #6 Dah huyo anaelia anatia huruma Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk