Angalia vitambulisho 8 vitakavyotumika kuchagua Serikali za Mitaa

Angalia vitambulisho 8 vitakavyotumika kuchagua Serikali za Mitaa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,896
IMG-20190910-WA0025.jpg
 
Hiyo twiti imetolewa na tume ya uchaguzi?
Time ya Uchaguzi haihusiki na uchaguzi huu, unasimamiwa na makada wa CCM chini ya waziri wa serikali za mitaa na hauna daftari la mpigakura, ukizaliwa tu kapige, ukifa tu kapige!
 
Mamluki wa kutosha wanafunzi wote lazima mkapigie chama tawala

Ushindi kwa asilimia 95 naanza kuuelewa sasa.
 
Maisha yanabadirika mkuu je unajua kuna wahamiaji haramu wengi kuna warundi wakongo wakomoro wasudani wasomali waganda wakenya kwa hiyo mkuu usikariri na ndio maana majuzi brother makonda alianzisha operation fukunyua mtaa kwa mtaa unadhani alimaanisha nini
 
Back
Top Bottom